KATUNI: JINSI UKUTA ILIVYO VUNJWA

KATUNI: JINSI UKUTA ILIVYO VUNJWA

MABOGOJOHA

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
541
Reaction score
427
katuni.jpg
 
Ha haa! Staili ya siasa za Bongo zimebadilika... Sasa hivi hadi wanagesh wamekuwa wanasiasa na wanatumika vizuri kweli kweli katika propaganda za chama na sirikali...
 
Kabla ya kujengwa umevunjwa salama kama ungewahi kujengwa dah! ungevunjwa kwa kafara za watu
 
Edo kwa mbali ina maana yeye hakuwa amepanda juu ya UKUTA hahahahahah
 
hiyo picha inaonyesha UKUTA haujavunjwa na ndiyo hali halisi.
UKUTA unapewa promo mpaka na madege ya kijeshi.
 
Jeidabiliutizedi + poishi + shishiemu = Ndugu moja.
 
Back
Top Bottom