PostGE2025 Katuni hii ya machawa inakupa picha gani?

PostGE2025 Katuni hii ya machawa inakupa picha gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,559
Reaction score
7,917
FB_IMG_17643289682458885.jpg
 
Kuna machawa na kuna Yanga🚮🚮🚮🚮
Yanga na Simba wote ni chawa japo Yanga wamezidi, kuna timu hata moja kati ya hizo iliyotoa pole kwa waliuawa na Samia? Wote hao waliouawa ni mashabiki wa timu hizo mbili.
Kuna upuuzi ule wa eti goli mama, that old witch is a devil in human form.
Timu hizo zihamie Zanzibar, stupid clubs.
 
Wakale ccm na kwa mapolisi wao.

Na wakifanya show waende ccm na polisi, raia ukienda huko tunakuwasha moto.
 
Watanganyika kipindi hiki mmefanya kweli imebaki kule kwenye vile vilabu viwili vya Kariakoo, ikifanyika boycotting ya maana kabisa kwa mechi walau 4 mwanga utaonekana vizuri kabisa.
 
Nguvu yao ilikuwa fanbase waliyokuwa nayo.

Sasa kwa kuwa hawanayo tena, next time kukiwa kuna uchaguzi hawataitwa tena!

Yani kimsingi ni tuseme safari yao ndiyo imefika mwisho hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom