Katuni hii ya CCM inakupa picha gani?

Nimeona kama Mwijaku na January chaliii mchangani πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Halafu kuna mkurya mmoja analia kabisa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Sijui mkurya wa wapi huyo, maana hawa jamaa ni ngoma ngumu uwa hawaliagi liagi hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…