Anamacho lakini haoni anamasikio lakini hasikii, yani sio tu ni wale wa kusoma na kuandika tu, kichwani zero mtu atoe rushwa alafu watu wakiongea utasikia sijui mabeberu hawa hawana nia nzuri na sisi, sasa huyu aliyekupa rushwa ya baiskeli sijui kanga na elfu kumi na hao wazungu yupi hana nia nzuri na sisi ?