Umeitaka ndoa, jitunze , jirembe mdada
Hii ndio taabu ya inferiority complex kwamba weupe ni uzuri. Kupaka kila kitu ili mtu uwe mweupe. Nywele za bandia.Unakuta mtu mweusi mzuri kavaa wigi ya blond.Inakuwa kituko. Wabantu wana kipilipili ridhikeni nazo.
Umeitaka ndoa, jitunze , jirembe mdada
Kwanin tena mkuuu
Huo si urembo bali ni mang'au! Aliyemremba ana bifu naye si ajabu alitaka aolewe yeye