Kwa hiyo mtu aache majukumu yake ya msingi akufurahishe wewe kukupa attention, hapo bora uumie kwa kweliKuna ile scenario mtu anakuwa anakupenda ila anatamaa zake za mambo mengine labda yuko busy na majukumu yake kiasi kwamba hana muda na wewe hiyo nayo ni aina ya kuchezea hisia za mwenzako. Haumpi attention anayohitaji.
Yeah.....ofcourse unaweza kuwa busy but sim ya kumjulia hali.......kumtext kila baada ya lisaa inampa faraja.....na ukirudi unampa hug la dakika kumi nzima then unamuangalia usoni unamwambia jinsi gani unampenda.Sasa mtu yupo bize na majukumu kwaiyo aache majumuku ya msingi kwasababu yako kisa atakuumiza hisia khaaaa
Inauma sana kuna kuwa kama kuna waya umefungwa katika mishipa ya moyo halafu umekaza unakuwa unausikia muda wote ukiwa unawaza......ndio maana watu husema moyo unaumaKuna jamaa miaka ya nyuma gear yake kwa mabinti aliokua akiwatokea ilikua kutangaza ndoa, ikatokea akawapanga mtu na mama yake mdogo, ilipokuja ku backfire yule mamdogo aliji over dose chloroquine ili afe!
Japo sikubaliani na uamuzi aliotaka kuchukua lakini namuelewa sasa hivi sababu maumivu hayo nilishawahi ku experience
Mkuu hiv inawezekana kutokuingia mzima mzima kwa mtu uliyempendsKuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuumiza wenzao tu na watu kama hao hata upige kelele vipi hawawezi kubadilika.
Cha muhimu watu wanapoingia kwenye mahusiano kinachotakiwa ni kutokuingia mzima mzima.
Hahahaha kabisa mkuuHisia za mapenzi zikiacha njia, abiria akanusurika basi wanaofuata wakae mguu sawa.
MMMh jamani mapenzi yanauma hapa nilipo niko hoi na maumivu ya moyo Mdada amenipiga stop hata kumtumia ujembe.nimekunywa pombe lakini bado moyo unauma hatari aisee hali niliyonayo ni mbaya wakuu Dogo mkali kila eneo ila ndio ivyo kanipiga chini mazima
Hayo ni maigizo text kila baada ya lisaa aisee acha tu niendelee kucheza mind gameYeah.....ofcourse unaweza kuwa busy but sim ya kumjulia hali.......kumtext kila baada ya lisaa inampa faraja.....na ukirudi unampa hug la dakika kumi nzima then unamuangalia usoni unamwambia jinsi gani unampenda.
Halafu unajua huwa sielewagi sakolojia ya mtu anayemtenda mwenzake. Yaani bora mtu ambaye from 1st mnakutana alishakutell kuwa yeye hajakuelewa na hawezi kuwa nawe. Ila sasa kuna yule ambaye anakuwa anasita mwanzoni halafu anakukubalia ukishaingia nae umeshajua utamu wa kuwa nae tena baadae anakubadilikia anakwambia hawezi kuendelea na wewe yaani anakuacha unahang hata haujielewi wapi pakushika yaani sometimes unatamani hata umteke maana hajui tu namna uwepo wake kwenye maisha yako ulivyo na umuhimu. Mimi kuna kasichana kalinifia utadhani kalirogwa na mimi. Kakawa kanafanya kila lililopo ndani ya uwezo wake kawe na mimi. Kalikuwa tayari hata tutafute chumba ili tukakae hue na kipindi hicho me ni denti wa form five.MMMh jamani mapenzi yanauma hapa nilipo niko hoi na maumivu ya moyo Mdada amenipiga stop hata kumtumia ujembe.nimekunywa pombe lakini bado moyo unauma hatari aisee hali niliyonayo ni mbaya wakuu Dogo mkali kila eneo ila ndio ivyo kanipiga chini mazima
MMMh jamani mapenzi yanauma hapa nilipo niko hoi na maumivu ya moyo Mdada amenipiga stop hata kumtumia ujembe.nimekunywa pombe lakini bado moyo unauma hatari aisee hali niliyonayo ni mbaya wakuu Dogo mkali kila eneo ila ndio ivyo kanipiga chini mazima