Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,337
- 2,907
Hawa wawili SAVANNAH na INDIANNA baba yao aitwaye MIHAYO kaamua kuwauwa kwa ugomvi na mama yao......just beauties
![]()
![]()
R.I.P mabinti wazuri.
Hawa wawili SAVANNAH na INDIANNA baba yao aitwaye MIHAYO kaamua kuwauwa kwa ugomvi na mama yao......just beauties
![]()
![]()
ha ha haaaaaaaaaa,pole yako leo imekula kwako
Hahahaha ulijua 'katoto'?
Haaa haaaaa ulidhani ni kabinti jamaniiii
Hongera kwa kufyatua toto zuri! Lafanana na babaake.Heee mabwakuuuuu ntake radhiiii
Kasije tu kakafoji miaka aisee,tutaomba MziziMkavu aingize kwenye hansadi za jf lol!Katakuwa ka.miss Tanzania baadae!
Tuandike kabisa tarehe na siku ya kuzaliwa asije kuidanganya kamati ya Miss tanzania juu ya umri wake!Katakuwa ka.miss Tanzania baadae!
Labda kipindi hicho itakuwa ni Tanzania mpya tofauti na hii hapa ambayo ni full vibweka!Tuandike kabisa tarehe na siku ya kuzaliwa asije kuidanganya kamati ya Miss tanzania juu ya umri wake!
Labda kipindi hicho itakuwa ni Tanzania mpya tofauti na hii hapa ambayo ni full vibweka!