Katoro

Katoro

Labile

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
58
Reaction score
63
Habari ya Leo.

Kwa wale wanaoishi au kupajua katoro, ni fursa gani inaweza kumsaidia mtu kutoboa akiwekeza 500k.

Natangulixa shukurani
 
Habari ya Leo.

Kwa wale wanaoishi au kupajua katoro, ni fursa gani inaweza kumsaidia mtu kutoboa akiwekeza 500k.

Natangulixa shukurani
Kwa Katoro biashara inayo vutia sana hapo ni duka la jumla.
Sasa sijajua mtaji huo unatosha au hautoshi.
 
Piga biashara za vitu vidogo vidogo km vile kuchoma na kuuza mishikaki kutokana na mtaji wako itakutoa Sana hasa ukiweka karibu na maeneo ya wauza pombe.
 
Back
Top Bottom