John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani. kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji
vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.
Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza
Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe
ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.
Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
Lisa akawaza:'Inawez ekana alimuona
akija au kaambiwa', akajibu:"Ndiyo, alipita hapa mara moja".
John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
Akamjibu mumewe kwa upole:"Ndiyo,
kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisiniakanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie
mchana"
Lisa : akabaki ametoa macho kumbe ametoa bureee