Moses Machali je?? Reticia, Chiku na Shibuda hao vipi???
said arfi akirudi cdm mimi nahama .Nao wanajuta. But Arfi said,anaomba kurudi kundini tena kwa taarifa za chini chini,but wadau wanamuona kama kinyesi.
Kule kwa Pinda kilimo kwanza ni "NYUKI"
said arfi akirudi cdm mimi nahama .
Hata mimi nitahama aisee.
Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.
Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.
Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?
Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.
Zzk ni chizi fulani na anastahili kupigwa chini jimboni!
zito ndo rais wetu hata usimguse
Moses Machali je?? Reticia, Chiku na Shibuda hao vipi???
Mkuu sisi wana mwandiga tumesha amua kuwa zzk hata akienda kugombea jimbo gani kamwe hatofanikiwa
wamepishana na gari linaloleta mshahara!Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.
Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.
Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?
Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.
Yeye na zzk walijiona kama miungu watu,CHADEMA sio chama cha mtu bali ni taasisi. Mmoja akiondoka,wengine wanashika usukani.
said arfi akirudi cdm mimi nahama .