mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
Pdidy katika ubora wake, lakini kijana nadhani alikuwa anatafuta hela ya harusi huyMchangawamacho akunaanaefanana nahaohatammoja
Last edited by a moderator:
Pdidy katika ubora wake, lakini kijana nadhani alikuwa anatafuta hela ya harusi huyMchangawamacho akunaanaefanana nahaohatammoja
kwa nchi maskini kama Tanzania ajira/kazi zipo tatizo ni sisi vijana kuwa wazembe na kutokuwa wabunifu tunategemea mpaka tuajiriwe........ hata kujiajiri tunataka tuwe na kiasi kikubwa cha mtaji....... hatujui kwamba mtaji mkubwa katika biashara yoyote na wazo(idea) kwanza..... halafu hata kama una hela au mtaji mdogo halafu unaweza kuuendeleza ukawa mkubwa. sasa sisi vijana wa leo tunataka maisha rahisi bila kutoa jasho, ndio maana wengi wengi wetu tunakimbilia kwenye kubet na kutegemea bahati nasibu.Acha kuongea kama mwanasiasa, Hizo kazi ziko wapi? Tuwe wakweli tutafakari kwa kina
unafikiri kwanini watu wanakimbizwa huko south? wamefuata kazi.... Watu wanagombea
hata hizo za ukuli na bado wanazikosa...... kazi hakuna.
Surely, these are true principles of success but almost 90% of those who made it skip them!Play. Hard....work hard ..make money....but follow the rule of the game
ni kweli kafunuliwa bila kujijua naona sasa ameshajijuaHeri dada kafunuliwa.
Umeona eeh
Ndo wakome!!!
Not real hawa watu tofauti mleta mada jipange
Acha kuongea kama mwanasiasa, Hizo kazi ziko wapi? Tuwe wakweli tutafakari kwa kina
unafikiri kwanini watu wanakimbizwa huko south? wamefuata kazi.... Watu wanagombea
hata hizo za ukuli na bado wanazikosa...... kazi hakuna.
Akamfwatesegadance
Mchangawamacho akunaanaefanana nahaohatammoja
mkuu hakuna jambo linalonikera kama hilo la vijiwe,Nilichogundua vijana wengi siku hizi ni wavivu na hawapendi kufanya kazi. Lakini wanapenda hela. Mfano mzuri kaangalie vibanda na sehemu za betting,wamejaa vijana asubuhi mpaka jioni. Wanatafuta hela kwa kubahatisha.Hii inarudisha sana nyuma uchumi wetu.
Lakini jamaa kala mzigo vya kutosha.
Mchangawamacho akunaanaefanana nahaohatammoja
fundisho/funzo/ujumbe/?/....mmh maskini bibi harus mtarajiwa