Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

Acha kuongea kama mwanasiasa, Hizo kazi ziko wapi? Tuwe wakweli tutafakari kwa kina
unafikiri kwanini watu wanakimbizwa huko south? wamefuata kazi.... Watu wanagombea
hata hizo za ukuli na bado wanazikosa...... kazi hakuna.
kwa nchi maskini kama Tanzania ajira/kazi zipo tatizo ni sisi vijana kuwa wazembe na kutokuwa wabunifu tunategemea mpaka tuajiriwe........ hata kujiajiri tunataka tuwe na kiasi kikubwa cha mtaji....... hatujui kwamba mtaji mkubwa katika biashara yoyote na wazo(idea) kwanza..... halafu hata kama una hela au mtaji mdogo halafu unaweza kuuendeleza ukawa mkubwa. sasa sisi vijana wa leo tunataka maisha rahisi bila kutoa jasho, ndio maana wengi wengi wetu tunakimbilia kwenye kubet na kutegemea bahati nasibu.
 
Play. Hard....work hard ..make money....but follow the rule of the game
Surely, these are true principles of success but almost 90% of those who made it skip them!
Maskini hapa jamaa mpaka anavalisha pete lazima alishakula kichwa kwa sana.
 
Acha kuongea kama mwanasiasa, Hizo kazi ziko wapi? Tuwe wakweli tutafakari kwa kina
unafikiri kwanini watu wanakimbizwa huko south? wamefuata kazi.... Watu wanagombea
hata hizo za ukuli na bado wanazikosa...... kazi hakuna.

Mkuu leo kula bonge ya like yangu....
 
Tamaa ya maisha.Vijana fanyeni kazi za halali unazotumia jasho lako,ona sasa vijana hawa watakula mvua si chini ya 20 na kuendelea
 
Nilichogundua vijana wengi siku hizi ni wavivu na hawapendi kufanya kazi. Lakini wanapenda hela. Mfano mzuri kaangalie vibanda na sehemu za betting,wamejaa vijana asubuhi mpaka jioni. Wanatafuta hela kwa kubahatisha.Hii inarudisha sana nyuma uchumi wetu.
mkuu hakuna jambo linalonikera kama hilo la vijiwe,
 
Duuh!!!! aibu gani hii???Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu...amin
 
Duuuh! mwenye kujua namba ya huyu dada anitumie kwenye PM, Nimtafute nikamfariji kwenye lodge nzuuri kama Gwajima alivyofanya kea Flora Mbasha.
 
hakika ndoa hakuna hapo tena, tena ni bahati yao vijambazi barbaro ingekuwa ni Arusha au Moshi wote hao saa hizi wangekuwa chumba cha kuhifadhi maiti.
 
Back
Top Bottom