Katika vituo hivi vikubwa vya Televisheni, kipi kinastahili kuwa kituo bora kwa mwaka 2017?

Katika vituo hivi vya Television,kipi kinastahili kuwa kituo bora kwa mwaka 2017?


  • Total voters
    71
  • Poll closed .
Ubora katika nyanjaa ipi mkuu, kwamfano tbc wanatakuwa bora kwa kuajiri wazee,kuongee kama wanaongea na wazee wenzao, mavazi,sura,uchangamfu vyote nikizee zee tu, wanahisi wazee sijui ndo wanawaangalia...
 
nina uhakika ambao hawata ipigia kura ya ndio azam wapo kwenye kundi moja wapo kati ya haya
1.hawana king'amuzi cha azam mjumban mwao
2.ni mawakala wa ving'amuzi vingine visivyo azam
3.wana king'amuzi cha azam lakin si walipiaji kila mwezi

************** maon yangu***************
 
Watanzania tulikofika ni kubaya, maana kukiwa na uchaguzi wowote, lazima siasa iwepo mbele.
Mhariri huchagua habari ambayo anaamini itakiuza na kukikuza kituo chake, lakini asipotangaza habari zimuhusuzo Fulani basi ni kituo chake ni kibaya/si bora.
Wale wenye viongozi wa kuchaguliwa kwenye nyumba za ibada naanza kuwaonea huruma maana hili litafika muda si mrefu

Wabillah tawfiq/muwe na Amani ya bwana
 
Bahati Mbaya saana Binafsi sina Access na hiyo Azam TV. Vinginevyo labda namimi ningeona bora hiyo! Nilishaachaga zamani kuangalia TV za Tanzania, ITV kwasasa bora hata TBCCM yenyewe maana tayari inajulikani ni tabia yake kuliko ITV waliokengeuka hivi karibuni!
 
Azam TV.

Leo wapo live Mlimani city namuona na baba wa pale Buguruni akichambua uchumi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom