Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,256
Reaction score
3,892
Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani

1.kombola la v2 rockets hili ndo kombola la kwanza la masefa marefu wazungu wenyewe wanaita first ballistic lililoweza kupiga miji mikubwa dunia kama new york,london,moscow,france etc hali iliopelekea adoph hilter kuisimamisha dunia siku 90

2.The me 262 hii ndo ilikuwa ndege ya kwanza ya kivita kutengenezwa wazungu wanaita first firt jet figher ambayo ilikuwa haionekani kwenye radar

3The stg 44 this was first assault missle hii ilikuwa ndo silaha ya kwanza ya maangamizi ktk dunia ambayo silaha hii ilikuwa uwezo mkubwa kuliko m16 ya uingereza

4.The type xxx jet water predetor hii ndo ilikuwa sub marine ya kwanza dunia yenye uwezo kusafiri umbali mrefu

5.The v1 bomb flying missle hii ilikuwa lile balistic missle ya kwanza ambayo ilikuwa inagawanyika mara tatu na kufanya mashambulizi

6The flitz x guided bomb was first under ground bomb invested by nazi german hiii ilikuwa bomu la chini kwa chini ambalo lilipiga liliuwa watu wengi zaidi mji kiev wakati majeshi ya hilter yaiikaribia urusi kuishambilia

7.The tiger two and tiger one tank hivi ndo vilikuwa vifaru vya kwanza vilikuwa havionekani radar

kutengeneza

8.The hot net bomb hiii ilikuwa ilitumika ku detroy military camps

9.atomic bomb technology hii ndo ilikuwa utalaamu jinsi ya kutengeneza kombola la atomic ambayo robert oppenher alijifunza ujerumani kisha akaitumia technology hioo usa kuwasaidia kutengeneza kombola la atomic lillopiga miji ya hiroshima nagasaki ........

Mwisho kabisa baada ya vita wataalamu wote kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani kupitia operesheni ya siri paper clip
 
Haijaisha unajua pale juu umeuliza swali ila hujatoa jibu kwanini pamoja na kua na hio Teknolojia kubwa walishindwa vita?
Sababu ya kushindwa vita ni nyingi mojawapo ni kuishiwa wapiganaji.mfano marekani alijiunga vitani mwishoni kabisa,hivyo,yeye hakupoteza nguvu kazi nyingi kama Kwa ujerumani na washirika wake
 
Huyu yeye alikua anawachora tu anawauzia chakula na silaha tu hakua anapigana ila mwishoni alipoona mjerumani kachoka ndio yeye akaingia akiwa na nguvu
 
Kwahiyo ilikuwaje sasa mpaka dakika ya tisini wakabanwa mbavu licha ya kuwa na siraha zote hizo.
 
Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani

1.kombola la v2 rockets hili ndo kombola la kwanza la masefa marefu wazungu wenyewe wanaita first ballistic lililoweza kupiga miji mikubwa dunia kama new york,london,moscow,france etc hali iliopelekea adoph hilter kuisimamisha dunia siku 90

2.The me 262 hii ndo ilikuwa ndege ya kwanza ya kivita kutengenezwa wazungu wanaita first firt jet figher ambayo ilikuwa haionekani kwenye radar

3The stg 44 this was first assault missle hii ilikuwa ndo silaha ya kwanza ya maangamizi ktk dunia ambayo silaha hii ilikuwa uwezo mkubwa kuliko m16 ya uingereza

4.The type xxx jet water predetor hii ndo ilikuwa sub marine ya kwanza dunia yenye uwezo kusafiri umbali mrefu

5.The v1 bomb flying missle hii ilikuwa lile balistic missle ya kwanza ambayo ilikuwa inagawanyika mara tatu na kufanya mashambulizi

6The flitz x guided bomb was first under ground bomb invested by nazi german hiii ilikuwa bomu la chini kwa chini ambalo lilipiga liliuwa watu wengi zaidi mji kiev wakati majeshi ya hilter yaiikaribia urusi kuishambilia

7.The tiger two and tiger one tank hivi ndo vilikuwa vifaru vya kwanza vilikuwa havionekani radar

kutengeneza

8.The hot net bomb hiii ilikuwa ilitumika ku detroy military camps

9.atomic bomb technology hii ndo ilikuwa utalaamu jinsi ya kutengeneza kombola la atomic ambayo robert oppenher alijifunza ujerumani kisha akaitumia technology hioo usa kuwasaidia kutengeneza kombola la atomic lillopiga miji ya hiroshima nagasaki ........

Mwisho kabisa baada ya vita wataalamu wote kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani kupitia operesheni ya siri paper clip
Futa uzi huu, kasome upya alafu urudi tena.
 
Wewe km unaouzi wako mpya uandike hapa kumkosoa wapi alipokosea kuandika..
Mwanzo mwisho.. Anaanfika vitu asivokua na details navyo. Naweza nikakuandikia histolia ya vita za dunia kuanzia enzi za Napoleonic Wars ilopigana miaka ya
1803 mpaka miaka ya 1815 huko.. Napo sidhani kama utaelewa maana nnauhakika ulikua hujui.

Siku nikianza kulewa mapema nitakuandalia uzi hapa na nitakuelezea historia za vita ambazo hujawahi kuwaza kama zimewahi kutokea.

With that said, narydia tena "futeni uzi mkasome, mkielewa mje upya na uzi'.
 
Mzushi tu punguza ujinga
 
Sio unaweza mimi nataka uandike ili uni-prove wrong kwamba wewe pia ni kanjanja tu mpiga zumari andika unayoyajua tukusome
Ok.. Nipe muda nitulie nikuandikie mdogo angu.. Maana ndo namalizia harakati zangu za mtu mweusi. nakuandikia.
 
Sababu ya kushindwa vita ni nyingi mojawapo ni kuishiwa wapiganaji.mfano marekani alijiunga vitani mwishoni kabisa,hivyo,yeye hakupoteza nguvu kazi nyingi kama Kwa ujerumani na washirika wake
Umenikumbusha maswali ya kidato Cha tatu
 
Mwanzo mwisho.. Anaanfika vitu asivokua na details navyo. Naweza nikakuandikia histolia ya vita za dunia kuanzia enzi za Napoleonic Wars ilopigana miaka ya
1803 mpaka miaka ya 1815 huko.. Napo sidhani kama utaelewa maana nnauhakika ulikua hujui.

Siku nikianza kulewa mapema nitakuandalia uzi hapa na nitakuelezea historia za vita ambazo hujawahi kuwaza kama zimewahi kutokea.

With that said, narydia tena "futeni uzi mkasome, mkielewa mje upya na uzi'.
Alafu kibaya zaidi unamnanga mwenzio kwa mambo ya kusoma ,ni bora ungekua shuhuda,
Kama unahisi kuna mahala hajaeleza vizuri,sahihisha kwa hoja inayoeleza vizuri alipokosea na sio maneno ya kina mama,
Jukwaa linapoteza mvuto kipindi hiki kwa watu kama nyinyi
 
Back
Top Bottom