Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 33,869 54,105 Mar 4, 2021 #2 Ushikaji wa hicho kitendea kazi ulisumbua sana.Mara ushike kama nyama na wakati mwingine kama kijiko.Walimu wapewe hongera kwa kutokuchoka kufundisha.
Ushikaji wa hicho kitendea kazi ulisumbua sana.Mara ushike kama nyama na wakati mwingine kama kijiko.Walimu wapewe hongera kwa kutokuchoka kufundisha.
comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,222 5,946 Mar 4, 2021 Thread starter #4 VinnytheDJ said: Nakuazima lakini usipulize Click to expand... Mkuu kale ka refresh
kinywanyuku JF-Expert Member Jul 13, 2015 3,562 2,628 Mar 5, 2021 #5 VinnytheDJ said: Nakuazima lakini usipulize Click to expand... Ha ha ha awesome ukipuliza hakichongi Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
VinnytheDJ said: Nakuazima lakini usipulize Click to expand... Ha ha ha awesome ukipuliza hakichongi Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app