Mvutano ulioibuka Ccm unaweza kuwa umetabiriwa na mtu yoyote anayefuatilia siasa nchi hii. Kwanza kuna watu hawapendi Magufuli apewe chama kwa vile hawana uhakika na usalama wa miradi na makampuni yao. Wapo wanaodhani asipewe chama ili kimdhibi pale atakapovuka mipaka, wapo wanaomuona si mwanasiasa kupewa chama.
Lakini kati ya hao kuna waumini wakubwa wa JK. Wakati mambo yakiwa magumu serikalini na kwenye chama JK alitengeneza mtandao wake. Ingawa mtandao wake ulikuja kuvurugwa na nguvu ya Lowassa lakini kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Leo natarajia Wa-NEC wengi watakuwa nyuma ya JK.
Ndiyo! wengi ni wafanyabiashara wakubwa na walipewa dili za kutosha wakati wa utawala wa JK, unategemea watamtupa waende na JPM ambaye anaonekana kutoaminika kwao? Wanaonekana kuwa upande wa JPM ni wale wazee Mkapa, Mwinyi (??), Msekwa na Mangula ambao nao watagonga ukuta.