donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Pedagogy ni nini mkuuHaileti picha nzuri kuanza kuwaanika vitoto mitandaoni katika umri mdogo namna hii. Ungejua pedagogy walau kidogo tu usingethubutu.
HahahaWowwww!
Tungekua tutoto twangu hakika ningekua natubeba mgongoni kila siku.
Ndio kitu gani hiyo mkuuHaileti picha nzuri kuanza kuwaanika vitoto mitandaoni katika umri mdogo namna hii. Ungejua pedagogy walau kidogo tu usingethubutu.
Hata mimi sijajuaPedagogy ni nini mkuu
Hata mimi sijajua
Ndio kitu gani hiyo mkuu
what is fleekKids on fleek
Pedagogy ni elimu ya makuzi ya binadamu kupitia hatua mbalimbali kuanzia utoto.Pedagogy ni nini mkuu
Wowwww!
Tungekua tutoto twangu hakika ningekua natubeba mgongoni kila siku.
hahaha tutamu kwakweli !nasema MUNGU anipe mtoto wa kike jaman !hehehe sijui kwakweli itakuwaje
hongera
Karibu Mbitiyaza,tena nakupa matwin weupeee kama baba yao,plus uzuri wa asili.