Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,281
- 103,708
Yeye anadhani utendaji wake wa mambo ndiyo watu wamuone mkali au anaenenda na sheria.Siku akiondoka kwenye hiyo nafasi atasingizia alikuwa anaagizwa tu.Huyo mdada wa Kinyakyusa kapoteza kabisa nuru kwa sababu ya roho mbaya, mwenzake tumemzika Kongwa