Katika Maprofesa ninaowaamini Bungeni ni Profesa Kabudi

Sikiliza hizo speech alafu niambie mtanzania gani mwenye speech kama hizo ukitoa Nyerere.

Nyingine hii hapa:

IMG_20210806_053407_437.jpg
 
Speech nyingi za Kiingereza aazisoma. Msikilize Mbowe akitema ung'eng'e utapenda. Ellequency yake iko juu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom