Katika mapenzi, usithubutu kupekua historia/experience ya mwenzi wako

Katika mapenzi, usithubutu kupekua historia/experience ya mwenzi wako

Kwanza unapokuwa na mwanake maswali kama haya si yakumuuliza.Kati ya vitu ambavyo wanawake hawapendi sana ni pamoja na kumjudge.Jaribuni kukaa nao na nyinyi muwachunguze mtaniletea majibu ya ndio.
 
Sio lazima nimueleze wote niliopita nao coz haina umuhimu
Haina ulazima na huoni umuhimu ila aliyekuuliza hujui anawazo gani.Je haukubaliani na mimi kuwa wanawake hawapendi kumfanya mtu awajudge? hampendi kuonekana too experiencend na kikubwa zaidi mnachohofia ni kumkosa mwanaume wa kutulia naye endapo atakuchulia ni malaya kweli si kweli?
 
kuna mmoja uyo alikuwa haishi kuniulza kuhusu ex wangu mpka kero, siku moja tuko katkat ya game ananambia eti mtukane mshikaj yaan nimtusi ex aiseee alinikata stimu zote na mchezo ukaishia hapo kilichofata ni kugombana

Habar ya ex inakujaje sasa mbona me siulizi mahusiano yako ya nyuma

Wenzako wanatukanaga, wewe dudu haikukolea vizuri
 
Bila kujua historia ya mwenzi wako ni kuidanganya nafsi.
Ina faida gani kutokujua historia ya mpenzi wako, let's say; umedumu nae miaka X halafu anakuletea watoto wake aliowapata kabla yako! Huoni gharama ya kujidanganya ni mbaya zaidi?
Kufanya maamuzi huku ukiujua ukweli ni bora zaidi.
kuchunguza muhimu sana,tena unaanzia kufuatilia akiwa bado primary hatua kwa hatua mpaka mnakutana
 
Back
Top Bottom