Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,485
Argentina walishawahi ku default madeni yao. Kitu kama hicho kinasababisha uchumi kuanguka na thamani ya pesa kushuka sana.
Pia, pesa kuwa na thamani ya chini si kitu kibaya mara zote.
Inategemea na mkakati wa nchi.
China inalazimisha pesa yake isipande thamani. Kwa sababu wao ni exporters. Kama exporters, hela yao kuwa na thamani ndogo kunaongeza exports sana, na hilo kwao lina maana kuliko hela kuwa na thamani kubwa.
Ni kama mwenye duka anayeuza vitu kwa bei ya chini, na faida ndogo kwa bidhaa mojamija, lakini anapata faida kubwa sana jumla, kwa sababu anauza vitu vingi kwa haraka sana, kuliko mtu anayeuza vitu vichache, kwa bei kubwa sana, lakini vinachukua muda sana kuuzika.
Marekani wanaipigia kelele sana China kwamba haiiachii Yuan ipande thamani kwa market value.