Katika mambo ambayo hunishangaza ni pamoja na thamani ya currency za latin america dhidi ya Tsh.

yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,445
2,956
Wajuzi wa mambo naomba mnifanunulie zaidi hii imekaaje .....thamani nyingi za currency za latin america zina thamani kidogo sana ukilinganisha na hela yetu kuanzia mkoloni mwenyewe (spain), Argentina, Chile hata Mexico (atlest ina thamani ) hizi currency thamani yake ni ndogo kwanini!? lakini zina maendeleo ya kati (si maskini sana si matajiri sn) ndio kusema wanaexport sn kuliko kuimport au imekaaje hasa !!! Kwanini za na zenyewe zisiitwe shit hole countries


Screenshot_20210113-231205.jpg
Screenshot_20210113-231305.jpg
Screenshot_20210113-231353.jpg
Screenshot_20210113-232019.jpg
 
Elimu yetu tatizo kubwa sana
Hapo hujaona Shilingi yetu ina thamani ndogo kuliko hizo currency nyingin!
Mkuu
Mambo Ni Moto
Kanda Ya Ziwa Waliambiwa Watapewa Mawe Yenye Dhahabu Maarufu "Magwangala " Sasa Hivi Yanawatoa Makamasi Wakikamatwa Nayo Wanapigwa Faini Ama Kifungo!!
😀😁😂🤣😃😄😅😄😃🤣😂😁😀😅😄😄😃😂😁😀

Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Inajibonyezea Hawa Hawa Wasomi Wanalipa Mara Mbili Na Hawajui Lolote!!
 
Elimu yetu tatizo kubwa sana
Hapo hujaona Shilingi yetu ina thamani ndogo kuliko hizo currency nyingin!
Kuna sehemu nimesema tsh imezizidi hizo currency ?!!! ...nyinyi ndio wale unaulizwa " unaitwa nani!!" unajibu the same "unaitwa nani"
 
Kichaa au mwendawazimu akikaa kimya wengi hudhani yuko timamu,subiri aongee ndo hao wengi hujua kua walikua hawamjui.
Haa 😅😄😃🤣😂😀😀
Huyo Mmemchoka Sana!! Maji Ataita Mmaa!!
 
Mbona bado pesa yetu ipo chini!
Mfano hiyo pesa ya Mexico; Mexican Peso 1 = 116 Tanzanian Shilling, huoni bado tupo chini ndugu yangu!? maana ya kwao wao moja sisi ni mia moja na ushee.
•Halafu Spain haipo Latin America, Spain ipo Ulaya (Europe)
 
Mbona bado pesa yetu ipo chini!
Mfano hiyo pesa ya Mexico; Mexican Peso 1 = 116 Tanzanian Shilling, huoni bado tupo chini ndugu yangu!? maana ya kwao wao moja sisi ni mia moja na ushee.
•Halafu Spain haipo Latin America, Spain ipo Ulaya (Europe)
Rudia kusoma kwa jicho la 3
 
Salamu mkuu,
Ntasema kidogo kuhusu Mexico...Kwa ufupi exports zinachangia more than 30% ya total GDP (around 1 trillion usd) ya Mexico. Kipindi cha mwalimu tuliwahi kwenda Mexico kujifunza mambo mengi sana hususani kilimo na ufugaji. Yapo makaseti mengi pale maktaba za TBC na wakijisikia huwa wanatuwekea na tunaburudishwa na historia adhimu ya mwalimu na ndoto za kuinua kilimo cha Tanzania ama Tanganyika vyovyote ilivyokuwa.

Mexico's exports to USA tu... ni zaidi ya mara 5 ya total GDP yetu. Mexico's currency is valued at the exact business point (Wachumi wanaweza kuliongelea hili vizuri).Trump aliona Mexico inakua kupitia US ndio maana ameipiga vita sana japo ni kama alishindwa pia. Kuwa karibu na America kuna faida kama unazalisha kiasi cha kutosha. Wakati sisi tukipiga kelele kuwa tusiagize sana bidhaa toka nje Mexico's Balance of Trade inaonyesha ana export kiasi kikubwa kwa America than anavyo import. In such situation a significant point ni ikiwa currency yake iko low.

coke toka Mexico ni very cheap....and inafanya very well kwenye soko lake. Mexico ina arround 100 something million individuals lakini ni nchi ya tatu after India and China kwa upande wa remittance returns . Remittance pekee ni zaidi ya 100 billion USD almost two times our GDP. Kama umegundua Mexico's market isn't within Mexico. Kama market yako iko nje kiasi hiki huwezi kulilia kuwa na strong currency.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom