Katika mambo ambayo hunishangaza ni pamoja na thamani ya currency za latin america dhidi ya Tsh.

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
54,636
2,000
Argentina walishawahi ku default madeni yao. Kitu kama hicho kinasababisha uchumi kuanguka na thamani ya pesa kushuka sana.

Pia, pesa kuwa na thamani ya chini si kitu kibaya mara zote.

Inategemea na mkakati wa nchi.

China inalazimisha pesa yake isipande thamani. Kwa sababu wao ni exporters. Kama exporters, hela yao kuwa na thamani ndogo kunaongeza exports sana, na hilo kwao lina maana kuliko hela kuwa na thamani kubwa.

Ni kama mwenye duka anayeuza vitu kwa bei ya chini, na faida ndogo kwa bidhaa mojamija, lakini anapata faida kubwa sana jumla, kwa sababu anauza vitu vingi kwa haraka sana, kuliko mtu anayeuza vitu vichache, kwa bei kubwa sana, lakini vinachukua muda sana kuuzika.

Marekani wanaipigia kelele sana China kwamba haiiachii Yuan ipande thamani kwa market value.
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,747

Kwa hiyo kikubwa ni.kuexport zaidi na zaidi
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,747
2,000
Salamu mkuu,
Ntasema kidogo kuhusu Mexico...Kwa ufupi exports zinachangia more than 30% ya total GDP (around 1 trillion usd) ya Mexico. Kipindi cha mwalimu tuliwahi kwenda Mexico kujifunza mambo mengi sana hususani kilimo na ufugaji. Yapo makaseti mengi pale maktaba za TBC na wakijisikia huwa wanatuwekea na tunaburudishwa na historia adhimu ya mwalimu na ndoto za kuinua kilimo cha Tanzania ama Tanganyika vyovyote ilivyokuwa.

Mexico's exports to USA tu... ni zaidi ya mara 5 ya total GDP yetu. Mexico's currency is valued at the exact business point (Wachumi wanaweza kuliongelea hili vizuri).Trump aliona Mexico inakua kupitia US ndio maana ameipiga vita sana japo ni kama alishindwa pia. Kuwa karibu na America kuna faida kama unazalisha kiasi cha kutosha. Wakati sisi tukipiga kelele kuwa tusiagize sana bidhaa toka nje Mexico's Balance of Trade inaonyesha ana export kiasi kikubwa kwa America than anavyo import. In such situation a significant point ni ikiwa currency yake iko low.

coke toka Mexico ni very cheap....and inafanya very well kwenye soko lake. Mexico ina arround 100 something million individuals lakini ni nchi ya tatu after India and China kwa upande wa remittance returns . Remittance pekee ni zaidi ya 100 billion USD almost two times our GDP. Kama umegundua Mexico's market isn't within Mexico. Kama market yako iko nje kiasi hiki huwezi kulilia kuwa na strong currency.
Umesema 30% ya exports inachangia currency kukuwa je 70% ya mambo mengine ni kama nini?
 
Dima234

Member
Jan 12, 2021
67
125
Wajuzi wa mambo naomba mnifanunulie zaidi hii imekaaje .....thamani nyingi za currency za latin america zina thamani kidogo sn ukilinganisha na hela yetu kuanzia mkoloni mwenyewe (spain),argentina,chile hata mexico (atlest ina thamani ) hizi currency thamani yake ni ndg sn kwanini!??? ...lkn zina maendeleo ya kati (si maskini sn si matajiri sn) ndio kusema wanaexport sn kuliko kuimport au imekaaje hasa !!! Kwanini za na zenyewe zisiitwe shit hole countries View attachment 1676893 View attachment 1676894 View attachment 1676895 View attachment 1676896

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
We naye kiazi kwai hiyo Kwa akili yako 1mexican peso being equals to 112tsh hapo yenye thamani kubwa ni shilingi si ndiyo ?
Hizi akili nyingine hizi ?
 
Dima234

Member
Jan 12, 2021
67
125
Mbona bado pesa yetu ipo chini!
Mfano hiyo pesa ya Mexico; Mexican Peso 1 = 116 Tanzanian Shilling, huoni bado tupo chini ndugu yangu!? maana ya kwao wao moja sisi ni mia moja na ushee.
•Halafu Spain haipo Latin America, Spain ipo Ulaya (Europe)
Yeye kwake anaona Hilo gap ni dogo , hajui kwamba ukiwa na Mexican pesos 5000 Tu huo ni mshahara WA mwalimu WA level ya degree huko bongolalastan in the mean time huwezi survive Kwa hiyo pesa in more than a week in Mexico
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,747
2,000
We naye kiazi kwai hiyo Kwa akili yako 1mexican peso being equals to 112tsh hapo yenye thamani kubwa ni shilingi si ndiyo ?
Hizi akili nyingine hizi ?
Tumia akili uliyopewa bire na Mungu ni sawa kusema Juma,Asha na Mariam Biriani wana rika moja kwa akili yako ya kijiko utajibu nini hapo?!!...hpo nimemaanisha hizi currency hazina tofauti kubwa na currency yetu [ hazipishani sana kwa thamani]

Nyie ndio huwa mnaliwa kiboga
 
lumanyisa

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
890
500
Umesema 30% ya exports inachangia currency kukuwa je 70% ya mambo mengine ni kama nini???.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Well sijasema unachosema nimesema....twende sawa hapa kwanza. Kuna jambo linaitwa export to GDP ratio binafsi ndicho nilichogusia.

Maswala ya ukuaji wa currency ni mambo mengine kabisa yanahusiana na demand ya hela husika.
 
Dima234

Member
Jan 12, 2021
67
125
Argentina walishawahi ku default madeni yao. Kitu kama hicho kinasababisha uchumi kuanguka na thamani ya pesa kushuka sana.

Pia, pesa kuwa na thamani ya chini si kitu kibaya mara zote.

Inategemea na mkakati wa nchi.

China inalazimisha pesa yake isipande thamani. Kwa sababu wao ni exporters. Kama exporters, hela yao kuwa na thamani ndogo kunaongeza exports sana, na hilo kwao lina maana kuliko hela kuwa na thamani kubwa.

Ni kama mwenye duka anayeuza vitu kwa bei ya chini, na faida ndogo kwa bidhaa mojamija, lakini anapata faida kubwa sana jumla, kwa sababu anauza vitu vingi kwa haraka sana, kuliko mtu anayeuza vitu vichache, kwa bei kubwa sana, lakini vinachukua muda sana kuuzika.

Marekani wanaipigia kelele sana China kwamba haiiachii Yuan ipande thamani kwa market value.
Kuwa na pesa yenye thamani ndogo sio mbaya ndio maana hata Japan's and Chinese central banks wanalaumiwa Sana na Marekani Kwa janja janja zao kudevalue au kushusha thamani ya sarafu zao Kwa sababu unaposhusha thamani ya pesa yako unafavour export zaidi that's means kama umebase kwenye exportation hizo bidhaa zako zitakuwa nafuu na zikiwa nafuu zitanunuliwa Kwa bei ndogo kwenye soko la kimataifa na utawaoutsmart your competitors kwenye soko na kuwapa wakati ngumu , ndio michezo ambayo China wameifanya na ikawafikisha hapo , wao walichochea investment Kwa kuvutia uwekezaji WA makampuni makubwa na wafanyabiashara wakubwa toka kila pande ya duania hasa Marekani na Ulaya , hivyo capital inflow kwenye uchumi wao ikawa kubwa , viwanda na biashara vikastawi technology na innovation pia , at the same time serikali inapata mapato makubwa , export ikawa kubwa huku products zikiwa so cheap thanks to slave labour from Chinese gulags ( reeducation camps ) and prisons also currency devaluation , hii ikasababisha makampuni makubwa almost yote kuoutsource productivity China , Leo hii tunapozingumza China tunazungumizia global workshop , karakana ya dunia ambapo almost kila kitu kinatengenezwa au kuzalishwa .

Tanzania na CCM wao ni kukimbizana na akina Mbowe na Lisu kuwabinya kende na kuwavunja miguu , kudokoa pesa za wafanyabiashara ,kusambaza propaganda za kisenge eti mabeberu mabeberu , mtasubiri miaka mingi kufikia hiyo level , use brains and not muscles . Uchumi WA sasa anaye survive ni mwenye akili na si jitu jinga jinga
 
Dima234

Member
Jan 12, 2021
67
125
Leo hii makampuni yote makubwa na tech giants kama Tesla , Microsoft ,Apple , Samsung , Nokia NK Wana branches China na huko productivity ndio inatake place Kwa kiasi kikubwa , sikuzote anayesababisha nchi na watu wake wawe masikini ni serikali na mifumo mibovu ya nchi husika katika uchumi , nchi kama Tanzania mmejaza mazezeta wachumia tumbo vilaza wenye mtindio wa ubongo kuomba mapbio ya kudumu chama cha mapinduzi , mamaeee miaka buku mtaishia kutengeneza uchumi WA machinga na wakulima WA jembe la mkono
 
MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,517
2,000
Kuna sehemu nimesema tsh imezizidi hizo currency ?!!! ...nyinyi ndio wale unaulizwa " unaitwa nani!!" unajibu the same "unaitwa nani"

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu unabisha tu lakn jamaa yuko sahihi, kiswahili chako kwenye mada kinamaanisha tz sh imezizidi hizo currency! Labda ungesema zimeizidi tzsh kwa tofauti ndogo. Kuwa flexible usikilize kwa wengine. Kwenye mada, cha kushangaa ni nini? Mbona yen ya Japan iko chini kuliko ksh haushangai? Hapo wataalam wa uchumi watuambie
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
54,636
2,000
Kwa hiyo kikubwa ni.kuexport zaidi na zaidi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ukiwa na sarafu ina thamani kubwa sana, halafu huna exports za kukusaidia kuwa na balance of trade nzuri, hiyo hela yako yenye thamani kubwa haikusaidii kitu.

Thamani ya hela tunaweza kujipangia tu leo tukasema shilingi moja ya Tanzania ni dola mbili za Marekani.

Lakini hilo halimaanishi tumepandisha uchumi.

Kinachopandisha uchumi ni exports za goods and services.
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,037
2,000
Nadhani sababu kubwa ni vile hakuna biashara kubwa kati ya tz na Latin america, ndio mana unaona tofauti ya exchange rate sio kubwa sana.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,787
2,000
Wajuzi wa mambo naomba mnifanunulie zaidi hii imekaaje .....thamani nyingi za currency za latin america zina thamani kidogo sn ukilinganisha na hela yetu kuanzia mkoloni mwenyewe (spain),argentina,chile hata mexico (atlest ina thamani ) hizi currency thamani yake ni ndg sn kwanini!??? ...lkn zina maendeleo ya kati (si maskini sn si matajiri sn) ndio kusema wanaexport sn kuliko kuimport au imekaaje hasa !!! Kwanini za na zenyewe zisiitwe shit hole countries View attachment 1676893 View attachment 1676894 View attachment 1676895 View attachment 1676896

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mbona hapo hakuna hata moja iliyo ndogo kuliko Tshs.

Zote hapo zina thamani ya juu kuliko Tshs
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,613
2,000
Kuna wachangiaji wamechangia vizuri sana humu kitu muhimu sana tusiwe tunafikiria nguvu ya pesa ndio uchumi bora kwa maana uchumi bora duniani una rank kwa nguvu ya pesa. nataka nitoe mifano midogo tu, Djibout pesa yao ina nguvu kuliko ya Tanzania je hii ina maana Djibout uchumi wao bora kuliko Tz? No hapana. ukija Middle East Bahrain ni nchi maskini katika eneo hili kufananisha na majirani zake lakini Dinar yake ina nguvu kuliko UAE au KSA, mifano mingi. na kuna nchi nyingi pesa zao zinanguvu kuliko Japan na China lakini uchumi wa nchi hizo haufikii China au Japan hata robo ya robo so hii currency issue sio issue. ukiwa una export sana au balance export na import kuwa na pesa dhaifu ni kitu kizuri bidhaa zako zinakuwa rahisi tatizo linakuja ukiwa una import sana almost kila kitu lakini export ndogo hapo utaumia kama nchi, kwa sisi Tz pesa ikianguka kidogo inakuwa shida kwa kuwa tuna import sana kuliko kuuza nje lakini nchi kama China kwa kuwa wanauza sana kuliko wanavyonunua inakuwa ina advantage kwao sana bidhaa zinakuwa rahisi. somo la pesa ni gumu kulielezea ila kwa ufupi hakuna link kuwa na strong currency na uchumi bora kikubwa hapa ni purchase power ya currency ndio muhimu je ukiwa na laki moja Tsh inakupa nini?
 
Ninja assasin

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,279
2,000
Wajuzi wa mambo naomba mnifanunulie zaidi hii imekaaje .....thamani nyingi za currency za latin america zina thamani kidogo sn ukilinganisha na hela yetu kuanzia mkoloni mwenyewe (spain),argentina,chile hata mexico (atlest ina thamani ) hizi currency thamani yake ni ndg sn kwanini!??? ...lkn zina maendeleo ya kati (si maskini sn si matajiri sn) ndio kusema wanaexport sn kuliko kuimport au imekaaje hasa !!! Kwanini za na zenyewe zisiitwe shit hole countries View attachment 1676893 View attachment 1676894 View attachment 1676895 View attachment 1676896

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
nchi nyingi za Latin America bado ni maskini wa kutupwa viongozi walalushwa na wafanyaji wa biashara za haramu lakn sababu kuubwa inasababishwa na ukolon wa mwanzo kabisa nchi hizo zilifanywa mashamba na migodi lakn viwanda vikawekwa Marekani na Ulaya ndio maana ukiona thaman ya currency yao na kwetu ni almost Sawa lakn pia ni maskini wa kutupwa kama nchi nyingi za Africa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom