Katika mahusiano anayeumia zaidi kwa kutendwa ni Mwanamke

Thamani ya mwanamke ni tabia zake katika huo uhusiano na probably kind of thinking.

Mwanamke akiwa mpuuz na anaendeshwa na tamaa ataendelea kuwa chombo cha starehe kwa kila mwanaume atakayekuwa nae katika mahusiano.

TIP: Mwanamke anatakiwa kuishi na mume kwa hekima na awe msaidizi kwa mwanaume wake. Usaidizi sio wa kutafuna hela tu bali wa kutoa mawazo chanya ya kuzalisha maendeleo zaidi. Ishu ya sex sio swala la kuelezea sana ila ni kitu kipo naturally, wahenga walishasema mficha uchi hazai !!!
Yani wewe ili uwe mwanaume rijali lazima unyenyekewe sijui ufanyiwe hivi mhhh. Hujui purpose yako hapa duniani. Don't expect anything from anyone expectation hurt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha siwezi kupofuka, medali zote za ushindi ninazo

Looh wee sikiwezi...

Umeshinda baba

Ila nnapenda medali, haswa kuvishwa jamanii. Yaani ukiniambia njoo nyumbani uchukue medali,nakuja mbioo hata sijiulizi marambili wala siwazi nauli ni shing' ngapi...
 
Looh wee sikiwezi...

Umeshinda baba

Ila nnapenda medali, haswa kuvishwa jamanii. Yaani ukiniambia njoo nyumbani uchukue medali,nakuja mbioo hata sijiulizi marambili wala siwazi nauli ni shing' ngapi...
ha ha ha njoo uchukue....
 
Asante sana, usisahau kuziba mia ya yote ya wapiga chabo. Upokeaji wa medali ni tukio la kipekee na litashuhudiwa na sie wawili tuu...aahahahahaa.
ha ha ha hakutakuwa na upendeleo?
 
Thamani ya mwanamke ni tabia zake katika huo uhusiano na probably kind of thinking.

Mwanamke akiwa mpuuz na anaendeshwa na tamaa ataendelea kuwa chombo cha starehe kwa kila mwanaume atakayekuwa nae katika mahusiano.

TIP: Mwanamke anatakiwa kuishi na mume kwa hekima na awe msaidizi kwa mwanaume wake. Usaidizi sio wa kutafuna hela tu bali wa kutoa mawazo chanya ya kuzalisha maendeleo zaidi. Ishu ya sex sio swala la kuelezea sana ila ni kitu kipo naturally, wahenga walishasema mficha uchi hazai 😂😂😂!!!
Wewe sasa ndo umeongea ukweli big up sana

Wanawake wengi wa siku hizi wamekua na tabia za kishenzi sana lakini lawama zote anatupiwa mwanaume

We mtu kila mara anawaza tu kukuomba hela hilo wazo la kumuoa utalitoa wapi, mana utahisi tu kwamba huyu kwa tabia yake hii nikija kuyumba kdg tu kiuchumi lazima atanisumbua sana.

Ifikie wakati wanawake wabadirike kitabia otherwise wataendelea kuchezewa sana tu
 
Back
Top Bottom