Katika mahusiano anayeumia zaidi kwa kutendwa ni Mwanamke

Ngoja Babu ODM Asprin aje nihakikishia kama kweli usemi wa maini hayazeeki ni maneno ya gahawa tuu....

Maana nnavoyapenda nikiambiwa kuwa nayo yanazeeka ntakondajeee....

Uzuri na utamu wa pumzi ya mzee haina majasho jasho....

Pumzi inakuwa kama intaka kupata, inastua kijoti halafu inanengua kama songi la kuinama, kisha pinda mugongo....

Bakulutu baby.
Kwani Kassie ukishawahi kuona jogoo anakufa kwa utitiri?

Kama bado basi mwambie huyo dogo, jogoo wa shamba hawiki mjini...

Asipokuelewa mwambie asipotakata mtoni atatakataje bafuni?
 
Mahaba Matata hayakomoleki (alisikika Babu Asprin akigumia....) "..... Halizibwi kwa mkate..." Aahahahahahahaaa.

Ndo kwaanzaaa nampa nampa nampa teenaaaa aahahahahahahhaaaa hadi achoke mwenyewe kupewa....

Kigagula Matata.
Hebu ongeza sauti kidogo mahabuba... nshachomoa shati kwa suruali... Yule anayemtemea cheche Kasie kashaanza fujo uvunguni huku. Na hivi Corona tushaifanyia sendoff ni mwendo wa kutoana bikra uzeeni...

Kamata kwanza mahaba kabla hatujababuana...

Afanaaaleki, kufa hakuna breki
 
Kwani Kassie ukishawahi kuona jogoo anakufa kwa utitiri?

Kama bado basi mwambie huyo dogo, jogoo wa shamba hawiki mjini...

Asipokuelewa mwambie asipotakata mtoni atatakataje bafuni?

Babuuuuu nna hamu ya kukulisha strawberries zilizochovywa kwenye mtindi lainiii wenye chocolate chips....

Hakika utamu wako si tuu kwenye blangata yako, hata maneno yako yana ulimbo. Hapa nimenasa kindakindaki sisikiiii......nikiwa naweeee sioniiiii.......aahahahahhahaaaaa wapi Maua Sama.....

Malabuku zako Babu mtamu.

Maneno haya bibi asisome eehehehee.
 
Hebu ongeza sauti kidogo mahabuba... nshachomoa shati kwa suruali... Yule anayemtemea cheche Kasie kashaanza fujo uvunguni huku. Na hivi Corona tushaifanyia sendoff ni mwendo wa kutoana bikra uzeeni...

Kamata kwanza mahaba kabla hatujababuana...

Afanaaaleki, kufa hakuna breki

Aahahahahahhaaaa Babuuuu

Ndo nshaanza kuimba korasi hapa nakusubiria uje uchomeke verse....

Kamata chiniiiii
Kamatia chinii
Kamata chiniiii
Kamatia chinii

Screaming Babuu yeeehhh.... weeh
ODM yeeeaaahh....weeh
Asipiro yeeaahhh.....weeeh

Mikono haitaki kuachia chini babuuu ongeza verse aahahahahahhahaaa

Hakyanani tena, hii akili imesababishwa na uji wa ulezi niliokunywa asubuhi aahahahahhaahhaaaaaaaa.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sasa ndo umeongea ukweli big up sana

Wanawake wengi wa siku hizi wamekua na tabia za kishenzi sana lakini lawama zote anatupiwa mwanaume

We mtu kila mara anawaza tu kukuomba hela hilo wazo la kumuoa utalitoa wapi, mana utahisi tu kwamba huyu kwa tabia yake hii nikija kuyumba kdg tu kiuchumi lazima atanisumbua sana.

Ifikie wakati wanawake wabadirike kitabia otherwise wataendelea kuchezewa sana tu
Hakika hilo muhimu sana kuzingatia, je siku nikiyumba kiuchumi itakuwaje?...ukizembea unaweza kuja kufanywa kituko mbeleni..Just imagine jinsi coron ilivyokuja ghafla kama ngumi ya kidevu! Nobody saw it coming.
 
Back
Top Bottom