Katika Kila Watanzania Wanne.

Katika Kila Watanzania Wanne.

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,439
Reaction score
2,452
1476790533699.jpg
 
Aliruka stage ndo anaifidia ukooo

Hahahaaa, unajua kuna mambo kama hukuyafanya kwenye stage flani ya maisha lazma ikugharimu na kujikuta ukiyafanya katika kipindi ambacho hakikutakiwa kufanya jambo hilo.
 
wengine wapelelezi
Heheh, zamani ilikuwa ukimkuta mtu akiwa katika mazingira haya ilikuwa ni lazma ujue kuwa ni mpelelezi tu wala hamna ubishi.

Lakini kwa siku hizi kiongozi na hivi utafiti umeshatoka kuwa katika kila Watanzania wanne mmoja ni lazma atakuwa naendesha gari bovu, kuwa mpelelezi sidhani.
 
Walisema kati ya wanne mmoja anaukichaa! Sasa mkuu umetuwekea mmoja tu watatu wako wapi?
 
Walisema kati ya wanne mmoja ni anaukichaa! Sasa mkuu umetuwekea mmoja tu wattatu wako wapi?

Ndio huyo mmoja mwenye ukichaa mkuu. Si unaona gari analoendesha kiongozi.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Ndio huyo mmoja mwenye ukichaa mkuu. Si unaona gari analoendesha kiongozi.
Huwezi jua labda huyu ananafuu ukifananisha na wengine watatu. Ndio maana walisema wanne
 
Niliona picha moja le propesa anaendesha gari kama hii, ina maana nae ni mmoja kati ya wale wanne?
 
Matatizo ya kuvuga stage hayo mara nyingi humpelekea mtu kuonekana kichaa
 
Matatizo ya kuvuga stage hayo mara nyingi humpelekea mtu kuonekana kichaa

Inabidi mtu aende ngapi kwa ngazi ukirukishwa juu tu moja kwa moja bila ya kupitia baadhi ya stage ni kweli mambo mengine ukifanya lazma utaonekana kichaa kiongozi.

Hatari Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom