Katika jina la Mungu

ndio maana nimeazisha dini na Imani mpya
 
Waafrika wote mnatuma herufi za kigeni, hakuna taifa hata moja la Africa lenye herufi zake.
China, wahindi, wazungu, warusi, waisrael, waarabu, NK wote Wana herufi zao ka so waafrika tunatumia za wakoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…