......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogasTuna wabunge takribani 300 na ushee na 80% ya wabunge hawa hawana umuhimu kwa wananchi wao, Leo unatuongezea wengine huku unalia kila siku serikali haina fedha, Tunahitaji baraza jipya la mawaziri siyo wabunge wapya japo tunatambua wengi si wasafi.
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas
..si kila king'aacho ni dhahabu mkuu unaweza ukawa unabadirisha wapangaji lakini mwisho wa siku nafasi ndani ya nyumba bado ile ile....hakuna jipya.Wabunge wapya ni sehemu ya baraza jipya la mawaziri.
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas
Tuna wabunge takribani 300 na
ushee na 80% ya wabunge hawa hawana umuhimu kwa
wananchi wao, Leo unatuongezea
wengine huku unalia kila siku serikali haina fedha,
Tunahitaji baraza jipya la mawaziri siyo
wabunge wapya japo tunatambua wengi
si wasafi.