DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 679
Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176.
Kwanza Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa iran.Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Ukitaka kuamini hili,baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA, yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.
Mwanzoni Iran walikana, mwishowe wakakubali,sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndio walioidungua hiyo ndege, jibu ni kuwa wao na USA ndio waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa Ukraine ni Mshirika wa USA na Iran pia ni mshirika wa Russia,so hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran, Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.
Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege. Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.
Ni Bora wangenyamaza kimya, wakaendekea kukanusha. Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa Syria.
Katika mgogoro huu, USA atakula tatu mzuka. Ameua jeneral wao muhimu, ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochea uhasama kati ya Iran na Ukraine.
Didas Tumaini