Ukiwakuta vijiweni wanavyobishana utaona aibu kuzaliwa AfrikaEti kupindisha kombora... Na yale yaliyopiga kambi je... Wakukurupuka wanakuwa wengi

pro amerika wamepagawa mkuu tokea juzi wamekua vichaa
inabidi upimwe mkojo
Du! Kweli bangi sio nzuri.bora viroba vilivyopigwa marufuku maana ungechanganya na viroba ingekuwa ndo balaa zaidiHapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176.
Kwanza Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa iran.Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Ukitaka kuamini hili,baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA, yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.
Mwanzoni Iran walikana, mwishowe wakakubali,sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndio walioidungua hiyo ndege, jibu ni kuwa wao na USA ndio waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa Ukraine ni Mshirika wa USA na Iran pia ni mshirika wa Russia,so hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran, Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.
Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege. Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.
Ni Bora wangenyamaza kimya, wakaendekea kukanusha. Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa Syria.
Katika mgogoro huu, USA atakula tatu mzuka. Ameua jeneral wao muhimu, ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochea uhasama kati ya Iran na Ukraine.
Didas Tumaini
Ass!Kama mama yako alivyo hopeless kwa baba yako kumpiga chenga
Pole sanaaaMarekani ni ma
Marekani ni mabingwa wa strategies siwezi kushangaa waiache kambi yao ipigwe na mabomu niliwahi soma nyuma ya pazia kilichotokea Pearl Harbor nikabaki mdomo wazi yaani lile tukio lilikua full compromised intelligence community ya Marekani ilikua full acknowledged na tukio ila waliacha litokee Unajua kwa nini? .......hiyo ndo America baba wa fitna kiwango cha lami

Akili nyingi sanaJamaa unaweza kuwa sahihi kwa namna moja ama nyingine ila watu ndiyo wanashindwa kukuelewa,kuna muda ktk vita unakubali kupoteza ili uje kushinda kirahisi mfano Kagera War IDD Amin Dada aliwavalisha wanajeshi wake gwanda za Tz na kuwaamuru kuvamia waganda wa mpakani na wanajeshi wa Uganda wa mpakani hii yote ni kupunguza ushawishi wa Tz pale mpakani mwa Tz-Ug ,tukija kwa Iran missiles kulipua us bases in Iraq na moja kupanguliwa linawezekana kama mleta mada asemavyo pia inawezekana pia Us kuilipua kwa kutarajia kutengeneza nadharia ya Iran kuwa mhusika ukizingatia Iran alirusha makombora ule usiku, hz ni vita na lolote linaweza fanyika ili US kupata ushawishi mwingi baina ya mataifa jirani na Irani,mfano mwingine ni kipindi cha vita vya somalia ambapo USA alipewa ramani ya kuwa moja ya sehemu ambapo waasi walikuwa wanaficha silaha ila huu ulikuwa mtego wa kumchonganisha US na Wasomali ambapo ingawaje huu mpango ulisacrife maisha ya waasi wenzao na RAIA wa somalia ila lengo lilikuwa ni kumfanya US ashambulie ile sehemu ili waweze kuwaonesha wasomalia kuwa US ni wabaya,sasa michezo ya HV ndiyo anachezewa asipostuka itafika muda hata wale waliokuwa wanamsapoti watashindwa kuonesha sapoti mfano Ghadafi alichukua miaka 30 wakiwa wanamwandikia profile chafu ili waje kumdunda kama mharifu wakati ni njaa ya utajiri wa Libya,TUNAITAJI UMOJA NA UTHABITI WA KILE TUKIFANYACHO ILI TUWEZE KUONDOA UBEBERU DHIDI YETU NCHI ZINAZOANZA KUJIKWAMUA Ila hz blah blah za kupeana matumaini fake ya kusema Iran kidume kisa USA hajajibu mapigo yatatufanya tuendelee kuangushwa na mabeberu pindi tunaposimama #LongLivemy BlessedTz
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mimi naomba msaada kidogo hivi yule Raisi Ahmedinajad yupo wapi siku hizi,na wakati akiwa madarakani huyu Ayatollah naye alikuwa kiongozi?Maana naona mnasema Ayatollah alikuwa kiongozi kuanzia 1979,mimi namjua zaidi AhmedinijadiNdio, ni mabingwa lakini sio mara zote.
Wanatamani sana wamtoe Ayatollah tangu '79 lakini wameshindwa. Umeshawaza kwa nini?
Kombora lililo tumika kuiripua hio ndege na makombora yalio tumika kuripua kambi ni makombora ya aina tofauti inasemekan....Jamaa unaweza kuwa sahihi kwa namna moja ama nyingine ila watu ndiyo wanashindwa kukuelewa,kuna muda ktk vita unakubali kupoteza ili uje kushinda kirahisi mfano Kagera War IDD Amin Dada aliwavalisha wanajeshi wake gwanda za Tz na kuwaamuru kuvamia waganda wa mpakani na wanajeshi wa Uganda wa mpakani hii yote ni kupunguza ushawishi wa Tz pale mpakani mwa Tz-Ug ,tukija kwa Iran missiles kulipua us bases in Iraq na moja kupanguliwa linawezekana kama mleta mada asemavyo pia inawezekana pia Us kuilipua kwa kutarajia kutengeneza nadharia ya Iran kuwa mhusika ukizingatia Iran alirusha makombora ule usiku, hz ni vita na lolote linaweza fanyika ili US kupata ushawishi mwingi baina ya mataifa jirani na Irani,mfano mwingine ni kipindi cha vita vya somalia ambapo USA alipewa ramani ya kuwa moja ya sehemu ambapo waasi walikuwa wanaficha silaha ila huu ulikuwa mtego wa kumchonganisha US na Wasomali ambapo ingawaje huu mpango ulisacrife maisha ya waasi wenzao na RAIA wa somalia ila lengo lilikuwa ni kumfanya US ashambulie ile sehemu ili waweze kuwaonesha wasomalia kuwa US ni wabaya,sasa michezo ya HV ndiyo anachezewa asipostuka itafika muda hata wale waliokuwa wanamsapoti watashindwa kuonesha sapoti mfano Ghadafi alichukua miaka 30 wakiwa wanamwandikia profile chafu ili waje kumdunda kama mharifu wakati ni njaa ya utajiri wa Libya,TUNAITAJI UMOJA NA UTHABITI WA KILE TUKIFANYACHO ILI TUWEZE KUONDOA UBEBERU DHIDI YETU NCHI ZINAZOANZA KUJIKWAMUA Ila hz blah blah za kupeana matumaini fake ya kusema Iran kidume kisa USA hajajibu mapigo yatatufanya tuendelee kuangushwa na mabeberu pindi tunaposimama #LongLivemy BlessedTz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna technology ya kupindisha kombora bali Kuna technology ya ku interceptHapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli
Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176.
Kwanza Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa iran.Pili imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.
Ukitaka kuamini hili,baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA, yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.
Mwanzoni Iran walikana, mwishowe wakakubali,sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndio walioidungua hiyo ndege, jibu ni kuwa wao na USA ndio waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa Ukraine ni Mshirika wa USA na Iran pia ni mshirika wa Russia,so hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran, Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.
Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege. Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.
Ni Bora wangenyamaza kimya, wakaendekea kukanusha. Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa Syria.
Katika mgogoro huu, USA atakula tatu mzuka. Ameua jeneral wao muhimu, ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochea uhasama kati ya Iran na Ukraine.
Didas Tumaini
Ayatollah yupo toka mwaka 1979 Ila Aliekuepo Kuanzia Mwaka 1979 Ambae Alikua Anaitwa Ruhullah Khomein (Kama Sijakosea spelling) Huyu Wasasa Anaitwa Ayatollag Ali Khamenei Baada Ya Kufa Ruhullah Khomein Ndio Akaja Ayatullah Ally Khamenei Ambae Ndio Yupo Mpaka Sasa Na Hivi Vyeo Vya Hawa Ma Ayatollah Vipo toka Ulipo Kuja Mfumo Mpya Wakuanzia Mwaka 1979 Mpaka Huu Mwaka 2020Jamani mimi naomba msaada kidogo hivi yule Raisi Ahmedinajad yupo wapi siku hizi,na wakati akiwa madarakani huyu Ayatollah naye alikuwa kiongozi?Maana naona mnasema Ayatollah alikuwa kiongozi kuanzia 1979,mimi namjua zaidi Ahmedinijadi
Ahsante sana,nilikuwa namkubali sana Ahmedinijadi,alikuwa anabweka sana pale UN,juzi imebidi nifuatilie,nimekuta huko Twitter kama wa Iran hawamkubali sana kiasi kwamba kuna baadhi ya marafiki wake wa karibu wamefungwa,na wanamlaumu kwa nini hakulaumu mauaji ya QassimAyatollah yupo toka mwaka 1979 Ila Aliekuepo Kuanzia Mwaka 1979 Ambae Alikua Anaitwa Ruhullah Khomein (Kama Sijakosea spelling) Huyu Wasasa Anaitwa Ayatollag Ali Khamenei Baada Ya Kufa Ruhullah Khomein Ndio Akaja Ayatullah Ally Khamenei Ambae Ndio Yupo Mpaka Sasa Na Hivi Vyeo Vya Hawa Ma Ayatollah Vipo toka Ulipo Kuja Mfumo Mpya Wakuanzia Mwaka 1979 Mpaka Huu Mwaka 2020
Yaani Kiufupi Ayatollah Kama Unavyomuona Malikia Elizabeth Japokua malikia Elizabeth Hua Anateuliwa(Kurithiana) Huyu Ayatollah Hua Anachaguliwa Nabaraza wanaliita lamaulamaa ama wanazuoni wanaomchagua kiongozi muadhwamu wenyewe wanavyomwita Ayatollah Hua Nanguvu Kubwa Zakiamri Kwabaadhi Yamambo Mengi Ila Sio Yote Nayeye Ndio Amiri Jeshi MKUU
Hii kwa ufupi 2 Mkuuu
Wakat wa Ahmedi Nejad Ayatollah Ally Khamenei Alikuwepo Kama kawaida na alikua alifanya kazi zake kama kawaida ila inasemekana kama hawa majamaa hawakuiva vyema maana inasemekanika bwana medi ni jamaa ambae anamisimamo mikali wakati ayatollah ana misimamo ya wastan na ndio maana enzi zile akawika sana bwana medi kuliko ayatollah japokua alikuepo toka medi anaingia madarakani mpaka anaondoka....m
Sent using Jamii Forums mobile app