Katika Daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Katika Daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha . Mtoto akakataa! Mama akamwambia "NYONYA KAMA HUTAKI NAMPA ANKO" (Anko ni kaka mmoja abiria aliekaa na huyo Mama pembeni) mtoto akanyonya kidogo na akaacha! Mama akamtishia tena kumpa Anko, ndipo yule kaka kwa hamaki akasema,; "MAMA UWE NA MSIMAMO, UNAJUA NIMEPITILIZA VITUO VINNE KWA AJILI YAKO, HEBU KUWA MKWELI! UNANIPA AU NISHUKE!?[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom