Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,466 Reaction score 42,603 Aug 7, 2024 #1 Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini?
Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini?
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 7, 2024 #2 taasisi inayotengeneza bidhaa kutokana na malighafi fulani
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,466 Reaction score 42,603 Aug 7, 2024 Thread starter #3 mshamba_mwingine said: taasisi inayotengeneza bidhaa kutokana na malighafi fulani Click to expand... Kinatakiwa kiwe na ukubwa gani? Au uzalishaji wa extent ipi ili kiitwe kiwanda?
mshamba_mwingine said: taasisi inayotengeneza bidhaa kutokana na malighafi fulani Click to expand... Kinatakiwa kiwe na ukubwa gani? Au uzalishaji wa extent ipi ili kiitwe kiwanda?
J Jantisa Member Joined Feb 13, 2023 Posts 59 Reaction score 51 Aug 7, 2024 #4 Kiwanda ni mahali ambapo bidhaa zinatengenezwa kutokana na malighafi ..kinaweza kuwa kiwanda kidogo kama cha kutengeneza tofali,kusaga unga, kusaga mpunga kuwa Mchele na kadharika Pia kinaweza kuwa kikubwa kama viwanda vya magari, mitambo
Kiwanda ni mahali ambapo bidhaa zinatengenezwa kutokana na malighafi ..kinaweza kuwa kiwanda kidogo kama cha kutengeneza tofali,kusaga unga, kusaga mpunga kuwa Mchele na kadharika Pia kinaweza kuwa kikubwa kama viwanda vya magari, mitambo
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,710 Reaction score 26,010 Aug 7, 2024 #5 Superbug said: Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini? Click to expand... Vyerehani vinne
Superbug said: Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini? Click to expand... Vyerehani vinne
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 7, 2024 #6 Superbug said: Kinatakiwa kiwe na ukubwa gani? Au uzalishaji wa extent ipi ili kiitwe kiwanda? Click to expand...
Superbug said: Kinatakiwa kiwe na ukubwa gani? Au uzalishaji wa extent ipi ili kiitwe kiwanda? Click to expand...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,643 Reaction score 74,512 Aug 7, 2024 #7 PakiJinja said: Vyerehani vinne Click to expand... Hiki Ndicho Kiwanda Alichotuachia Mzilankende Mpaka Kesho Tunadunda Na Cherehani 4
PakiJinja said: Vyerehani vinne Click to expand... Hiki Ndicho Kiwanda Alichotuachia Mzilankende Mpaka Kesho Tunadunda Na Cherehani 4