katika basi mama na mwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

katika basi mama na mwana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by felinda, Jun 26, 2012.

 1. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.mtoto akakataa,mama akamwambia ''nyonya kama hutaki nampa anko anyonye'' anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama. Mtoto akanyonya kidogo akaacha.Mama akamtishia tena kumpa anko.Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''mama uwe na msimamo.Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa mkweli!! unanipa ninyonye au nishuke.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Duh kazi kweli kweli
   
 3. magdarena

  magdarena Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hahahahahhahahaha. Hiyo kali
   
Loading...