katika basi(daladala)..

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake...mtoto akakataa...mama akamwambia "nyonya, kama hutaki nampa anko anyonye"..anko ni kaka mmoja ambaye alikuwa ni abiria aliyeketi na huyo mama....mtoto akanyonya kidogo, akaacha.mama akamtishia tena kumpa anko...ndipo yule kaka akasema "mama uwe na msimamo..unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako, hebu kuwa mkweli!!!"...unanipa ninyonye au nishuke?
 
mbona umecopy na kupaste! ilikuwepo kitambo sana.
 
hahahaha safi sana hii,nimefurahi kwa kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…