Katibu wa DP ni mke wa Mtikila?

Katibu wa DP ni mke wa Mtikila?

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,552
Reaction score
2,387
Leo katika umbeya wangu wa kisiasa nimepitia tovuti ya The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage kuangalia taarifa za vyama vya siasa nchini, miongoni mwa vituko ni huyu katibu wa DP anaitwa Mrs Georgia Mtikila(sijui mke,dada au shemeji?) Kuna kali zaidi chama cha Demokrasia Makini hakina mwenyekiti. naomba hayo yawe ni makosa ya wa tovuti hii ni sio ukweli wa mambo maana tutaendelea kuchapisha tshirt kila siku huku chama TAWALA kikiendelea kutawala.
 
Kwani akiwa mke wa mtikila shida itakuwa ni nini? si alichaguliwa kidemokrasia?
 
Back
Top Bottom