GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Siku chache zilizopita Kiongozi huyu wa CHADEMA wilaya ya Newala amepewa fedha na mmoja
wa watendaji wa CCM saa Saba usiku. Lengo la Taarifa hii ni kuwaomba CHADEMA makao makuu
wamwangazie jamaa huyu ambaye ameanza kuhujumu Juhudi za UKAWA.
Moja ya mambo ambayo wamekubaliana ni kuhakikisha kuwa anasimamisha wagombea katika
maeneo ambayo CUF wanakubalika na pia kutosimamisha WAGOMBEA maeneo ambayo
CHADEMA wanakubalika.
Si mara yake ya kwanza kukihujumu chama, kuna rekodi zake katika chaguzi zilizopita lakini
lengo la kuandika haya ni kutaka CHADEMA si immulike yeye tu bali pia viongozi wengine
wa Kiwilaya ambao kuna uwezekano Mkubwa wa kununuliwa na Kukihujumu chama na
UKAWA kwa ujumla.