Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza arejea CCM

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza arejea CCM

Eti katibu wa chadema ?Aliyekuwa jamani muwe mnaleta habari kamili jamani eti nimeondoka chadema kwa kuwa wanagawana vyeo kama karanga je nae alivyokuwa katibu aligawia kama karanga ?mbona wakati ule asikatae kuwa katibu?tumemsoma alikuwa bado anataka kuwa kionngozi tena pole yake upeo wake mdogo ndio maana hajachaguliwa tena?
Mkuu nipo Mwanza Huyo jamaa si kiongozi wa Chadema, itakuwa maajabu Leo Lipumba akiamia ccm na ccm ikashangilia inabidi viongozi wapimwe akili zao,

Au nitashangaa Leo Cuf wakisikitika kwa Lipumba kwenda ccm, ndicho kilichotokea hapa Mwanza Leo, wale wote wapenda mabadiriko mnapaswa kufurahia hiki kilichotokea Leo hapa Mwanza.

kamwe Mafuta na maji haviwezi kukaa pamoja, na kwa mashabiki wa Chadema muupongeze uongozi wenu wa Chadema Mwanza kwa kumtimuwa huyu kirusi mapema kabla chama cha wafu Leo hakijamtumia kwenye propaganda zake na has a kupitia TV yao TBC hii habari imepewa coverage ya uhakika.

Lakini kuna kitu kimoja ccm wasichokijuwa we are everywhere na tuko within.

Na hata hapa nilipo nakula pesa ya ccm na hotel wanalipa wao bila kujuwa wapo na Ghost, in short they don't even know who there really enemy.
 
CCM wanarejea, lakini CHADEMA wanahamia. Hamna Jipya hapo!
Kajitambua huyu
CHADEMA imetutumia sana sasa tumeshtuka
CHADEMA huwa inatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakati wa kuteua akina Mbowe wanakuja na majina yao mfukoni
Tena usipokuwa rafiki wa Lissu au Msigwa au Lowassa huwezi teuliwa
Hata utendaji wako uwe wa kutukuka
CHADEMA na UKUTA wao umeshindwa
 
Kumbe!! basi hata Lipumba amejitambuwa, kama kujitambuwa unasubili mpaka ufukuzwe uongozi basis kazi IPO.

Haya na wewe unataka cheo gani tukuombee? maana Chadema wanagawa vyeo tu hakunaga uchaguzi wa kugombea vyeo.
 
CHADEMA ya zamani iliyo hubiri na kutenda haki ndiyyo inatakiwa irudi
CHADEMA iliyo teua madiwani na wabunge viti maalum kwa kufuata merits sio KUJUANA kama sasa
Nani kateuliwa viti maalum WABUNGE sio ndugu ya viongozi wa juu?
Kuandamana tunahimizwa sisi maskini lkn kuteuana ni wao tena hadi mahawala wao
Hata ww nakushauri ondoka CHADEMA labda kama ni elites wale wateua watu wao
 
Hawa waliimaliza chadema uchaguzi mkuu na walikuwa wamesimamishwa. Leo eti nini?
Mwambie uongo,wake tumeutambua
 
SADICK TV.jpg
CHADEMA.jpg
CHADEMA 2.jpg
CHADEMA 3.jpg

[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG] NEWZZZZ_ KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MWANZA ABWAGA MANYANGA AHAMIA CCM

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza, John Nzwalile amejivua nyazifa zake tatu pamoja na uanachama wa chama hicho kwa madai kuwa chama hicho kimekuwa na ubabaishaji.

Mbali na ukatibu wa mkoa, Nzwalile alikuwa mjumbe wa Baraza Kuu Taifa na mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Mwanza, Nzwalile amesema Chadema kimekuwa kikiwachonganisha wananchi na Serikali, jambo ambalo amesema halikubaliki.

“Nimefikia uamuzi huu mgumu wa kujivua nyadhifa zangu zote na uanachama wa Chadema baada ya kuchoshwa na siasa za uchochezi, majungu na uchonganishi zinazofanywa na chama hiki kikubwa cha upinzani nchini,” amesema Nzwalile

Amesema imefika hatua viongozi wa Chadema wakijifungia ndani kwenye vikao vyake vinahusu maandamano na uchochezi pekee, kwanini “tusifanye shughuli za maendeleo badala ya kuhamasiha vurugu na uvunjifu wa amani,” amehoji Nzwalile
Chanzo.Sadick TV
 
Matola

CCM HAIWEZI kupa madaraka so called "MAKUBWA" bila kugombea
Labda Katibu Mkuu CCM cheo ambacho nina uhakika viatu vyake haviwezi kukutosha
Kama unataka cheo kikubwa kuwa rafiki wa Mbowe na utapata
Huko ndiyo kun vyeo va kupeana,hata wabunge viti maalum wanapeana tu
Then wasilisha hoja yako bila matusi
Ona sasa lugha uliyotumia unaonyesha ww ni mtu wa hovyo hovyo tu
 
Jemedari naona amechelewa sana kutoka huko kusikoeleweka (CHADEMA)
 
Mimi nasema huyu Magufuli analazimisha watu wampende yeye na chama chake kwa kutumia nguvu ya dola. Ajaribu kuruhusu wapinzani kufanya mikutano aone watanzania watakavyounga mkono maazimio, mipango, mikakati na hata matamko mbalimbali yatakayo tolewa na viongozi hao wa upinzani. Kama watanzania wangekuwa wanafurahishwa na utawala wake kamwe asingetumia polisi kukamata kila anayemkosoa (Rais) na kumwita mchochezi. Hii ni fedheha kwa watawala wetu.
Ulafi wa madaraka unawasumbua watawala.
 
Matola

Hujui hata unacho bishania
CCM haiteui wabunge wa viti maalum
Bali wanashindana mikoani kwanza
CHADEMA wabunge viti maalum hawashindani popote,Mbowe anakuja na majina yake mfukoni
Sasa umekosa hoja unaleta vioja tu
Sijazungumza hapa Ma DC wala Ma RC
Makatibu wa CCM ni cheo cha siasa I dont care kama Mwenyekiti wa chama atawateua!
Hata Makatibu wakuu wa Wizara wanateuliwa na hamna aliyeshangaa kwa hilo sababu wanawakilisha serikali
Wabunge wanawakilisha wananchi,Mbowe kuja na majina yake ni haikubaliki
MAMA Migiro na Mama Meghji walikuwa wanateuliwa ktk nafasi 10 za Rais,kuna ajabu gani hapo?
Mbumbumbu kabisa hili lijamaa!!
 
Habari Wakuu

Wakati tukielekea kwenye UKUTA katibu wa CHADEMA mkoa wa Mwanza aachia ngazi na kurejea CCM.

UPdates zinakuja wakuu........

=======

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza, John Nzwalile amejivua nyazifa zake tatu pamoja na uanachama wa chama hicho kwa madai kuwa chama hicho kimekuwa na ubabaishaji.

Mbali na ukatibu wa mkoa, Nzwalile alikuwa mjumbe wa Baraza Kuu Taifa na mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Mwanza, Nzwalile amesema Chadema kimekuwa kikiwachonganisha wananchi na Serikali, jambo ambalo amesema halikubaliki.

“Nimefikia uamuzi huu mgumu wa kujivua nyadhifa zangu zote na uanachama wa Chadema baada ya kuchoshwa na siasa za uchochezi, majungu na uchonganishi zinazofanywa na chama hiki kikubwa cha upinzani nchini,” amesema Nzwalile

Amesema imefika hatua viongozi wa Chadema wakijifungia ndani kwenye vikao vyake vinahusu maandamano na uchochezi pekee, kwanini “tusifanye shughuli za maendeleo badala ya kuhamasiha vurugu na uvunjifu wa amani,” amehoji Nzwalile.

Chanzo: Mwananchi
Ameogopa kuangukiwa na UKUTA
 
hana jipya njaa imekuingia kichwani wasalimie hatuna hasara na wachumia tumbo
 
Matola

Hujui hata unacho bishania
CCM haiteui wabunge wa viti maalum
Bali wanashindana mikoani kwanza
CHADEMA wabunge viti maalum hawashindani popote,Mbowe anakuja na majina yake mfukoni
Sasa umekosa hoja unaleta vioja tu
Sijazungumza hapa Ma DC wala Ma RC
Makatibu wa CCM ni cheo cha siasa I dont care kama Mwenyekiti wa chama atawateua!
Hata Makatibu wakuu wa Wizara wanateuliwa na hamna aliyeshangaa kwa hilo sababu wanawakilisha serikali
Wabunge wanawakilisha wananchi,Mbowe kuja na majina yake ni haikubaliki
MAMA Migiro na Mama Meghji walikuwa wanateuliwa ktk nafasi 10 za Rais,kuna ajabu gani hapo?
Mbumbumbu kabisa hili lijamaa!!
Wewe ni mpuuzi kabisa watu makini wote wanapaza sauti viti maalumu vifutwe wewe ndio kwanza unavitokea povu na kuviotea maziwa kifuwani!!

Kweli common sense is not common to everyone.
 
Wewe ni mpuuzi kabisa watu makini wote wanapaza sauti viti maalumu vifutwe wewe ndio kwanza unavitokea povu na kuviotea maziwa kifuwani!!

Kweli common sense is not common to everyone.
Lkn viti maalum si ndiyo Mbowe anawapa mahawala zake?Vikufutwa atakuwa anawahonga nn tena?

Mm napenda vifutwe Lkn BOSS wako sidhani kama atapenda
 
msidhoofishe upinzani jamani
pamoja na changamoto zao hawa watu bado ni muhimu sana
msiwabomoe sana
 
Back
Top Bottom