Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza arejea CCM

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza arejea CCM

Kila mtu aende anakopenda. Ndiyo demokrasia ya vyama vingi tuliyoichagua. Nashangaa watu wanaolalamika wanapokosolewa, wanaotaka kila mtu ashabikie mambo wanayoyapenda wao. This is impossible under this political system.... you either accept criticism and opposite views or suck it up.
 
Mimi nasema huyu Magufuli analazimisha watu wampende yeye na chama chake kwa kutumia nguvu ya dola. Ajaribu kuruhusu wapinzani kufanya mikutano aone watanzania watakavyounga mkono maazimio, mipango, mikakati na hata matamko mbalimbali yatakayo tolewa na viongozi hao wa upinzani. Kama watanzania wangekuwa wanafurahishwa na utawala wake kamwe asingetumia polisi kukamata kila anayemkosoa (Rais) na kumwita mchochezi. Hii ni fedheha kwa watawala wetu.
Nakumbuka alivyokuwa anamlazimisha Lembeli
 
Bei kaka, bei kaka!!! Hali yenyewe ngumu ivi then mpunga mezani aaaah tuheshimiane!!!
Eti bei! Sio kila anayehama chama fulani amenunuliwa, kwani Lowasa alipohamia huko mlimlipa sh ngapi?
 
Mimi nasema huyu Magufuli analazimisha watu wampende yeye na chama chake kwa kutumia nguvu ya dola. Ajaribu kuruhusu wapinzani kufanya mikutano aone watanzania watakavyounga mkono maazimio, mipango, mikakati na hata matamko mbalimbali yatakayo tolewa na viongozi hao wa upinzani. Kama watanzania wangekuwa wanafurahishwa na utawala wake kamwe asingetumia polisi kukamata kila anayemkosoa (Rais) na kumwita mchochezi. Hii ni fedheha kwa watawala wetu.
Wewe tofautisha kati ya kukosoa na uchochezi.
 
Huwa mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe......FYI you stomach Thinkers & Seekers boys CHADEMA siyo man alone kama ilvyo huko CCM kuheshimu mawazo ya Mwenyekiti huku hakunaga.
Watu wanashangaza sana, aliondoka leka tutigite akaja dr cassava bado cdm inadunda
 
Ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huwezi kuwa kiongozi wa chadema hata kwa saa moja
 
''Nilikuwa nimeandaliwa hoteli nzuri ambapo ningekaa na kupumzika huku nikitumia simu kuhamasisha makamanda ANDAMANENI, ANDAMANENI!''.

''Dhamira imenisuta! Kama mimi Katibu tuu wa mkoa Mwanza ningekuwa hotelini, je viongozi wa kitaifa watakua wapi?''. - Katibu wa CHADEMA Mwanza aliyehamia CCM leo.

Chanzo: Azam Tv

1472578017718.jpg
 
Kwa hiyo huo ndio uzalendo?
Kick tu anatafuta huyo..
Naye aandikwe kwenye magazeti na kutajwa kwenye vyombo vya habari!
 
Back
Top Bottom