Katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akamatwa na Polisi Mkoani Mbeya na kunyimwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,662
218,149
FB_IMG_1608058407722.jpg

Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana .

Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa Aliyekuwa RC wa Mbeya , Amos Makalla na RPC Mpinga ambayo pia ilimhusisha Joseph Mbilinyi , hawa wote walifungwa jela , lakini walitolewa jela katika mazingira ya kutatanisha na baadaye walishinda rufaa yao .

Niliweka uzi hapa kuhusu jambo hili lakini ulifutwa na Moderator mnoko bila sababu.
 
Chalamila si ajabu anataka kumuuwa maana huwezi kuamini wakuu wa mikoa kwa amriya magufuli wananyanyasa wapinzani polisi pia waatangaxwe kama afui namba moja wa wananchi
 
Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana .

Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa Aliyekuwa RC wa Mbeya , Amos Makalla na RPC Mpinga ambayo pia ilimhusisha Joseph Mbilinyi , hawa wote walifungwa jela , lakini walitolewa jela katika mazingira ya kutatanisha na baadaye walishinda rufaa yao .

Niliweka uzi hapa kuhusu jambo hili lakini ulifutwa na Moderator mnoko bila sababu.
Kumbe bado wanahangaika na Chadema?
 
Opposition camp. Walk up straight and triumphantly. Freedom is in sight. Never and ever despair. You have the support of the trodden majority.
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mbeya tumieni busara na hekima kwa mambo madogo. Yapo mengi ya msingi kuzingatia. "Uchaguzi umekwisha X3"
Ni vema ajiulize alikoishia Pedesheee Amos Makalla
 
Taarifa zinaonyesha kwamba hata watu wake wa Chadema kumuona hairuhusiwi
 
Back
Top Bottom