Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Busisi Wilaya ya Sengerema ambapo alikwenda kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM.