simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 484
Ndugu wanajamvi;
Wasaalam popote mlipo kama kila siku tulivo kwenye ujenzi wa nchi yetu Leo asubuhi mawingu yametanda kila kola ya nchi ikiwa ni ishara njema ya kumaliza siku.
Katibu wetu wa chama cha mapinduzi leo hii saa nne asubuhi anatarajiwa kuongea na vyombo mbalimbali vya habari mtaa wa Lumumba wote tukiwa na kiu kusikia nini ataongea, na kama chama wana msimamo gani kuhusu kwa kile kilichotokea Jana na ambayo yanaendelea kuzungumzwa na wengi just stay tuned!!
Kama ilivyo kawaida yangu CCM ni chama imara na kimejengwa kwenye misingi ya uzalendo so naomba tusubiri kwa hamu na bashasha kusikia kitu toka kwao chamanii.
Kidumu chama cha Mapinduzi,
Ni wako Kijana mtiifu na mzalendo kutoka Lumumba:
=====
Hii habari imekanushwa, Soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...-wandishi-wa-habari-yupo-nje-ya-nchi.1223380/