GE2025 Katibu wa BAVICHA kanda ya Victoria ahamia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM
=================
Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA

Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano.

Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Dkt. Samia Kaitaba Mjini Bukoba baada ya Kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama chichi Dr. Asha Rose MIgilo.
 
Attachments

  • snapins-ai_3744769183109490931.mp4
    31.3 MB
Kuhusu kutokuwepo na maandamano yupo sahihi 100%

Anyway, ngoja wafia chadema waje waseme amenunuliwa 😂
 
Wanaenda kulikalia bench kama Mchungaji Msigwa 😁😁😆
 
Huyu mjinga Samuya na magenge yake wanajidanganya sana. Baada ya Oktoba 29 hatafanikiwa hata kukimbia nchi.
 
Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM
=================
Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA

Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano.

Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Dkt. Samia Kaitaba Mjini Bukoba baada ya Kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama chichi Dr. Asha Rose MIgilo.
View attachment 3489679
Hakuna shati la size yake?
 
Back
Top Bottom