Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Bomani Tarime, akatwakatwa mapanga

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Katibu Mwenezi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo kata ya Bomani - Tarime Mjini amekatwa katwa mapanga na Green Guard panga tano kichwani kuelekea chaguzi hizi na katiba ya ya majangili mengi tutayaona na kuyasikia...
IMG-20141104-WA0016.jpg
 
Zoezi la kumkata kata limesimamiwa na Masubo ambaye ni diwani....
 
Naamini mliopo eneo husika mtalimaliza hili swala mapema iwezekanavyo. Unyanyasaji sasa mwisho.
 
Hivi ni kwanini ccm wanajiona kana kwamba wao wana mikono minne na miguu minne na wengine hawana hata mmoja? Tutaendelea mpaka lini kuruhusu hawa wenye akili ndogo kutunyanyasa ndani ya nchi yetu ambayo wote tuna haki sawa? Je kwa kuendelea kupiga kelele tu kama waoga fulani ndio solution? Ina maana ccm wao ndio majogoo wa nchi hii na tuliobaki ni mitetea? Kwanini tusijibu mapigo?
 
Uzushi mtupu...green gurad hawakati watubmapanga

ushahidi na siyo tukio la kwanza Igunga mlimua wakala wetu, Arumeru aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya Usa River mlimchinja kama kuku na waliofanya tukio hilo wakakamatwa cha kushangaza aliwanikiwa kutoloka mbele ya polisi nane na kati ya hao watatu wakiwa na SMG...huyu kakatwa katwa na amewatambua baadhi akiwemo Diwani wa kata hiyo mhuni Masubo, juzi mmekodisha wahuni kwenda kumdhuru warioba...
 
Hivi ni kwanini ccm wanajiona kana kwamba wao wana mikono minne na miguu minne na wengine hawana hata mmoja? Tutaendelea mpaka lini kuruhusu hawa wenye akili ndogo kutunyanyasa ndani ya nchi yetu ambayo wote tuna haki sawa? Je kwa kuendelea kupiga kelele tu kama waoga fulani ndio solution? Ina maana ccm wao ndio majogoo wa nchi hii na tuliobaki ni mitetea? Kwanini tusijibu mapigo?

ni kwasababu wana Bunduki, mabomu, mahakama...
 
CCM wamebakiwa na polisi, green guard maana wamekataliwa na wananchi.....

Pole kamanda
 
ushahidi na siyo tukio la kwanza Igunga mlimua wakala wetu, Arumeru aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya Usa River mlimchinja kama kuku na waliofanya tukio hilo wakakamatwa cha kushangaza aliwanikiwa kutoloka mbele ya polisi nane na kati ya hao watatu wakiwa na SMG...huyu kakatwa katwa na amewatambua baadhi akiwemo Diwani wa kata hiyo mhuni Masubo, juzi mmekodisha wahuni kwenda kumdhuru warioba...

1. Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kileo ndio aliyemmwagia tindikali mussa tesha, huko igunga
2. Chadema waliuwa watz arusha,morogoro, iringa na singida
3. Chadema kupitia red brigade walimteka, kumtesa kisha kumtupa msitu wa ununio mwenyekiti wao wa wilaya ya temeke bwana yona
4. Chadema kupitia mkurugenzi wake wa ulinzi na usalama wilfred lwakatare walipanga kumteka kisha kumtesa mwandishi wa habari na mhariri wa gzeti za mwananchi denis msaki
 
Hali ya mgonjwa imezidi kuwa mbaya amepewa rufaa kwenda Bugando..
 
ushahidi na siyo tukio la kwanza Igunga mlimua wakala wetu, Arumeru aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya Usa River mlimchinja kama kuku na waliofanya tukio hilo wakakamatwa cha kushangaza aliwanikiwa kutoloka mbele ya polisi nane na kati ya hao watatu wakiwa na SMG...huyu kakatwa katwa na amewatambua baadhi akiwemo Diwani wa kata hiyo mhuni Masubo, juzi mmekodisha wahuni kwenda kumdhuru warioba...

Wewe unayesema umekatwa na Green guard, tuonyeshe huo ushahidi. Siyo unakuwa mwepesi wa kushutumu huku huna ushahidi. Fichua maovu kwa kuonyesha ushahidi na si kuendekeza hisia.
 
1. Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kileo ndio aliyemmwagia tindikali mussa tesha, huko igunga
2. Chadema waliuwa watz arusha,morogoro, iringa na singida
3. Chadema kupitia red brigade walimteka, kumtesa kisha kumtupa msitu wa ununio mwenyekiti wao wa wilaya ya temeke bwana yona
4. Chadema kupitia mkurugenzi wake wa ulinzi na usalama wilfred lwakatare walipanga kumteka kisha kumtesa mwandishi wa habari na mhariri wa gzeti za mwananchi denis msaki

Povu jingii..!!!ushabiki usio na faida,,nakutokujua nini unashabikia,pole sana...
 
CCM wamebakiwa na polisi, green guard maana wamekataliwa na wananchi.....

Pole kamanda

Neno mwananchi kwako ni msamiati? Hebu tafuta tafsiri ya neno wananchi halafu rekebisha upuuzi ulioandika hapo.
 
1. Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kileo ndio aliyemmwagia tindikali mussa tesha, huko igunga
2. Chadema waliuwa watz arusha,morogoro, iringa na singida
3. Chadema kupitia red brigade walimteka, kumtesa kisha kumtupa msitu wa ununio mwenyekiti wao wa wilaya ya temeke bwana yona
4. Chadema kupitia mkurugenzi wake wa ulinzi na usalama wilfred lwakatare walipanga kumteka kisha kumtesa mwandishi wa habari na mhariri wa gzeti za mwananchi denis msaki

1. Tesha alimwagiwa na Green Guard baada ya kuwarusha pesa waliyolipwa ilibkubandua picha za mgombea wa chadema.
2. Kama jeshi la Polisi liko chini ya Chadema basi ni kweli tutakuwa tuliua Arusha, Iringa(Mwangosi), morogoro...
3. Huyo tahira aliyekubali kutumika na kujigonga nyundo ili kutafuta kuandikwa kwenye magazeti akiamini wanaiua chadema kumbe anaipaisha..
4. Msaki alikuwa kwenye dili na Mwigulu, Zitto kwa kumtumia Ludovic...endelea kuwataja akina kibanda, Dr Ulimboka, Dr. Mvungi upate aibu..
 
Huyu mlevi kalewa pombe kali ametaka kuchukua demu wahuni wamemchapa acheni pombe mtakufa
 
Ninyi CDM nao ni wapuuzi tena sana tu, haiwekani kila siku mnapigwa ninyi tu mnabaki kulalamika tu kupigwa na wakati mnajua wazi hamna wa kuwatetea. Mnalalamika nani sasa mnataka awasaidie, polisi mnajua wazi kabisa ni ya nani hivyo kama na ninyi hamuwezi kupiga mnapopigwa basi msiendelee kutupotezea muda hapa jamvini kwa kulalamika bila wenyewe kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom