Katibu Mwenezi na Itikadi (CCM), Ndugu Shaka tumekuelewa

Kila mwenye kufanikiwa hakuwahi kukosa maadui

Mafanikio yake dogo, yanasimikwa na ujinga mwingi wa wenye wivu!

Endeleeni kumsema yasiyo Kweli, ndio anasafiri hivo mwenzenu, nyie endeleeni kushinda mitandaoni Kwa umbea wenu!!

Eti boga!!?? Mla boga naye ataitwaje?? Pumbavu zako wewe Kwa uwongo wa kijinga!!
 
Dakika 5 tu za salaam pale kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Mhambwe umetuthibitishia kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hakufanya makosa kukupendekeza na hatimaye kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Nilihamasika pale ulipomthibitishia waziri mkuu Mhe Kassim Majaliwa Kassim kuwa CCM itashinda majimbo yote ya Muhambwe na Buhigwe na itashinda kwa haki, itashinda kwa amani na itashinda kwa demokrasia....sababu ni umoja na mshikamano wa wanaccm na mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Hongera sana....kazi iendelee!!!View attachment 1774345

Mchele Mchele na Boflo chakula kizuri zanzibar.
 
Kiongozi haitakiwi kuwa na kashfa mbaya yoyote
Baba wa taifa hayati j k nyerere alishasema hayo kiongozi anatakiwa awe mtu msafi.
Hii kashfa nakumbuka ilishawahi kuthibitishwa morogoro jamaa akaondolewa huko
Kwani kashfa pekee bila uthibitisho inatosha kusema kuwa mtu huyo tayari ni mchafu au mpaka ipatikane ithbaati ?
 
Back
Top Bottom