Katibu Mwenezi Chadema jimbo la Malinyi mkoani Morogoro Bw.Lucas Lihambalimu, kavamiwa na kupigwa risasi usiku

Tunafuatilia taarifa mbaya kuhusu K/Mwenezi wa @ChademaTz, Jimbo la Malinyi, Morogoro, Ndg Lucas Lihambalimu aliyevamiwa nyumbani kwake, kupigwa risasi na kufariki hapohapo majira ya saa nane usiku. Eneo hilo la Bonde la Kilombero pia aliuawa Diwani Lwena kwa kukatwa mapanga.
Kila aliyehusika atalipa tu
 
Nyerere aliwahi sema ukianza kula nyama za watu huwez acha ....Aliaanza kimchezomchezo na sasa kazoea
 
Nyerere aliwahi sema ukianza kula nyama za watu huwez acha ....Aliaanza kimchezomchezo na sasa kazoea
Kiwia-a5.jpg

Hiyo ndo kazi ya red brigade, mmulize mbunge wa Ilemela!
 
Back
Top Bottom