Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Haji Manara (Pichani), ametiwa mbarano jana kwa tuhuma za utapeli wa magari. GPL.COM ilimshuhudia kigogo huyo akiwa kituo cha polisi magomeni akihaha kujinasua na tuhuma hizo ambazo zimetolewa na wamiliki wa magari wasiopungua sita wakidai kutapeliwa kwa nyakati tofauti na kwa namna tofauti. Mtandano huu utakuletea taarifa zaidi za skendo hii itakapo kamilika. sorce: http://www.globalpublisherstz.com/2008/08/14/polisi_afumwa_gesti.html
Safi sana huyu jamaa mshenzi sana anatumia ccm kuwazulumu wananchi na wakati mwingine anawadanganya wanawake atawapatia mikopo
huyuy wanatakiwa wamwamishie mwanza akumbane na vigogo