Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Gerson Msigwa bhana.....eti Oparesheni Samia Kombe la Dunia

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tanzania ( Taifa Stars ) ikifuzu Kombe la Dunia lijalo MINOCYCLINE naahidi Kujisaidia Haja Kubwa ( Kupupu ) kutoka hapa Kwetu Kisiwani Pemba ninapoishi hadi Chamwino Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma.

Yaani unahangaika kucheza AFCON na unafuzu kwa Ndondokela / Bahati Nasibu kutokana na bado kuwa na Kiwango duni ( cha chini ) halafu hata Aibu huna Unajiamini na Unawaaminisha Watanzania kuwa Tanzania ( Taifa Stars ) itafuzu Kombe la Dunia lijalo.

Kama kuna Wizara ambayo MINOCYCLINE nasema ina bahati mbaya ya kupata Katibu Mkuu wake wa hovyo hovyo ( incompetent ) basi ni hii ya Sanaa, Utamaduni na Michezo iliyo chini ya Katibu Mkuu wake Gerson Msigwa.
 
Hawa ni Wahujumu uchumi, Hakuna wanachofanya zaidi ya blah blah kisha wanakinga mkono mwisho wa mwezi.
 
Me wakianzaga huu ujinga basi nakuwa naombea tufungwe tu.

Kuna wajinga wengine kwenye mechi wanaonesha picha za Samia, sijui wanamaanishaga nini.

Ndo mana sipendagi mpira wa kibongo
 
Nilikua naiombea ishinde ila kwa upuuzi huu acha ipigwe ichakae.
Siasa uchwara kila pahala
 
Me wakianzaga huu ujinga basi nakuwa naombea tufungwe tu.

Kuna wajinga wengine kwenye mechi wanaonesha picha za Samia, sijui wanamaanishaga nini.

Ndo mana sipendagi mpira wa kibongo
Yani picha ya samia ww inakuuma?nchi imejaa mataahira sana hii,chuki yote hiyo inaletwa na nini?
 
Nashukuru Mungu hawatafika popote pale.
Moroco watupige zakutosha
Afcon tutatoka mapema
 
Back
Top Bottom