Katibu Mkuu wa CHADEMA akutana na Madiwani na uongozi wa CHADEMA Arusha, amtembelea Lema

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa Dr.Vincent Mashinji jana amekutana na Madiwani wa Jiji la Arusha Mjini.

Katika kikao hicho walikuwepo Katibu wa Kanda ya kaskazini na Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Mhe.Amani Golugwa, Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalist Kalisti Lazaro, Mwenyekiti wa wilaya Derick Magoma Jr na Katibu wa wilaya CHADEMA Arusha Mjini Steven Urassa.

Aidha kabla ya kikao hicho, Katibu Mkuu alipata fursa ya kumtembelea Mbunge wa jimbo la ARUSHA mjini mhe. Godbless Lema katika gereza la Kisongo.

IMG-20161208-WA0018.jpg
 
Mashinji akipita mitaani ni watu wachache sana watakaomtambua kuwa ni K/mkuu wa chama.
Nafasi ya Slaa ilitakiwa irithiwe na mtu ambaye angekaribia haiba ya Dr. Slaa,
Viatu vya Slaa kuvaliwa na Mashinji lazima vimpwaye....Ndo maana Sizonje anatoa vitisho na wao wanaufyata.
 
Ile price tag ndio umaarufu wa dokta mihogo.
 
Mashinji huwezi kumlinganisha na Dr On Behalf of Myself, ambaye hajawahi kuwa kuwa hata mwenyekiti wa nyumba kumikumi.
 
Tusiwe tunaonesha partiality kwenye mambo yasiyotakiwa,
Mchango wa Slaa kukuza CDM hauelezeki.
Hata kama aliondoka kwa shari, heshima yake inabaki pale pale.
Hana hiyo heshima unayotaka kutuaminisha, ni kama yule mwanapunda aliyembeba Yesu akiingi mjini.
Punda alidhani ameheshimiwa yeye kwa yale mapokezi yenye bashasha za nguvu.

Aliufahamu ukweli aliporejea mara hii akiwa pekeyake! Alifukuzwa kwa kutandikwa mijeledi na matusi juu!!!!!

Dokta mihogo ana price tag na csiem wanaijua real price yake.

This is EXODUS we need no obstacle on our way out.
 
Tusiwe tunaonesha partiality kwenye mambo yasiyotakiwa,
Mchango wa Slaa kukuza CDM hauelezeki.
Hata kama aliondoka kwa shari, heshima yake inabaki pale pale.
Slaa alifanya sehemu yake anakumbukwa na Mashinji atafanya sehemu yake naye atakumbukwa vilevile, si lazima Mashinji afanye kama alivyofanya Slaa.
 
Back
Top Bottom