Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
Mimi pia kwakweli, sema kaka Luka ana kipaji aisee afikiriwe hata ukatibu wowote huko maana anaandika vizuriLuca unaandikaaaa! Mi sijasoma yote kwakweli!

Sijasoma gazeti lote, ila kwa haraka umegusia sifa za aina moja za huyo KM Taifa wa Chama Cha Mafisadi. Umeacha sifa zake muhimu za ufisadi ulikubuhu, uhujumu uchumi, ujangili, ushirikina, udhalimu, ufedhuli, kusimamia wizi wa kura, na machafu mengine kama hayo.Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM atapatikana kupitia njia hii.nasema ikiwa chama kitaamua kuwa na katibu mkuu mwingine nikiwa na maana kuwa chama kinaweza kufanya maamuzi ya kumrudisha aliyekuwepo kwa sababu ambazo nilishazieleza kwa kina kupitia jukwaa hili.
Nashangaa watu walipo anza haraka haraka kutaja taja majina ya watu ambao watabeba mikoba ya ndugu chongolo.nilishangaa na kucheka kwa kuwa mimi naifahamu vyema CCM kuwa huwa kamwe haitangulizi mkokoteni halafu ikafuata kuchukua farasi.CCM nayoifahamu mimi haitangulizi majina ya watu kwa sura zao au rika lao au jinsia zao au sauti zao au mahali wanapotokea au dini zao.
Siku zote CCM huangalia kazi iliyopo mbele yake na wakati uliopo na ndipo huanza uchambuzi wa kina na kisayansi kuangalia ni nani anayeweza kubeba majukumu yaliyo mbele ya chama na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu.
Kwa sasa CCM inahitaji na italeta katibu mkuu mwenye kuendana na kasi ya mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Tanzania,mwenye kukijuwa vyema chama cha Mapinduzi,mwenye utulivu,hekima na busara ya hali ya juu sana.anayetambua uzito wa kauli zake mbele ya camera na jamii.mwenye kuweza kudhibiti ulimi wake,asiye na jazba wala hasira inayoweza kumpelekea kutamka mambo kiholela awapo majukwaani ambayo yakaleta taharuki na kukitesa chama katika kujisafisha.
Chama kinamhitaji mtu msafi wa matendo,mwenye taswira njema na nzuri katika jamii,mwenye uwezo wa kukiunganisha chama kuanzia mashinani hadi Taifa. ikumbukwe ya kuwa katibu mkuu wa CCM Ni Tofauti kabisa au ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjalo na vyama vya upinzani kama CHADEMA. Wa CCM Ni mzito kwelikweli,ni mtu wa daraja la juu sana kiuongozi.
Hivyo CCM inahitaji mtu aliyepevuka na kukomaa hasa kiakili na siyo kimwili au kiuombo au kisura .awe amejazwa na misuli ya usiri mkubwa sana katika kifua chake.mwenye kuweza kutunza kila kitu katika kifua. Ni lazima awe mwenye mikakati,mbinu,na akili kubwa sana ya mipango thabiti ya kukivusha chama na kukipatia ushindi katika Chaguzi zijazo.ni lazima awe mfuatiliajii wa masuala yote ya maelekezo ya chama kwa ngazi zote.awe anaifahamu vyema ilani ya chama na namna serikali yake ilivyotekeleza na mahali palipo bakia kiutekelezaji. Ni lazima awe na mawazo mapya katika kukipatia upya chama kila uchwao,na nilazima awe makini sana kwa kila hatua afanyao.
Ni lazima awe mwenye stamini ya kuhimili vishindo vya kila aina na anayetambua ya kuwa uongozi ni Jalala la kutupiwa kila kitu.ni lazima awe ni mtenda haki kwa wanachama wote na kuwathamini na kuwaheshimu wote bila kufanya ubaguzi wala upendeleo kwa yeyote yule.asiwe mtoa matamko ya haraka haraka pasipo kufikiri na kutulia.ni lazima awe na subira na mtafiti wa mambo mbalimbali anayoletewa mezani pake. Ni lazima ajuwe umbea na Majungu vipo tu hivyo lazima ajuwe namna ya kukabiliana navyo.
Ikumbukwe ya kuwa kimajukumu huyu ndiye mtendaji mkuu wa chama,msimamizi wa udhibiti wa fedha na mali za chama,msimamizi na mratibu wa masuala yote ya usalama na maadili katika chama,msimamizi wa shughuli za utawala na uendeshaji wa chama n.k. hivyo inahitaji awe na akili za ziada katika kukilinda chama kiusalama ili kisije hujumiwa au kupandikizwa migogoro au kuvurugwa na kuleta mpasuko au nyufa ndani ya chama.ni lazima awe na ujasiri na ushupavu wa kumkabili na kumwita mwanachama yeyote yule katika utaratibu wa kichama na siyo hadharani pale ambapo nyendo zake zitaonekana kuhatarisha usalama wa chama au kukigawa.
Ni lazima awe ngao namba moja ya mwenyekiti wetu na siyo kuwa daraja la kumhujumu Mwenyekiti wetu hasa kutoka kwa wale wasaka madaraka,ni lazima asimame na Mwenyekiti wetu mpaka dakika ya mwisho.ajuwe maono ya mwenyekiti wake na kuyatafsiri kulingana na ilani ya chama na kuhakikisha yanatekelezwa ipasavyo.na ni lazima mwenyeki naye amlinde kwa nguvu na kwa wivu mkubwa sana na kwa umakini mkubwa sana katibu mkuu wake hasa kwa kutambua ukweli kuwa kuacha katibu mkuu kudhoofishwa na kikundi chochote kile ndani ya chama ni sawa na kujihujumu na kujidhoofisha Mwenyewe na kujiweka katika hatari ya kushindwa kuwa na sauti ya kuheshimika ndani ya chama.
Ni lazima Mwenyekiti na katibu wake ni wamoja na kuhakikisha kuwa chama hakitekwi nyara na kikundi chochote kile kinachoweza leta hatari ya kuleta migogoro na mipasuko ndani ya chama kwa kujiona ni wakubwa kuliko chama ambacho ni taasisi kubwa yenye historia kubwa katika Taifa letu na katika bara zima la Afrika.
Ni lazima Mwenyekiti wa chama ahakikishe anapata katibu mkuu ambaye wataendana kwa kila kitu ,ambaye atakuwa mtiifu na mnyenyekevu,.atakayejiona yupo kusaidiana na yeye kutekeleza ilani na siyo kwa ajili ya kuimarisha kundi fulani lenye malengo ya mbele kwa ajili ya madaraka fulani kwa ajili ya mtu fulani wa kundi fulani. Awe ni mtu mwaminifu kwake mwenyekiti na anayeweza kumuachia hata glasi ya maji ya kunywa bila wasiwasi wowote ule.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na kuwainua kiuchumi.lakini pia Ni CCM Pekee iliyo na uwezo wa kuiongoza Tanzania. Na Ni CCM Pekee iliyo shehemu viongozi wachapa kazi ,waadilifu na wazalendo wa kweli kwa Taifa letu.Sijasoma gazeti lote, ila kwa haraka umegusia sifa za aina moja za huyo KM Taifa wa Chama Cha Mafisadi. Umeacha sifa zake muhimu za ufisadi ulikuhubu, uhujumu uchumi, ujangili, ushirikina, udhalimu, ufedhuli, kusimamia wizi wa kura, na machafu mengine kama hayo.
Wewe na Zitto Kabwe nani ni " Wakuja" hapa CCM?!!🐼CCM hatukodi watu wa kuja kutuongoza sisi maana tuna hazina ya kutosha ya viongozi wenye sifa na uwezo wa kushika nafasi ya katibu mkuu.
ZittoWewe na Zitto Kabwe nani ni " Wakuja" hapa CCM?!!🐼
Yaani kuna mwana CCM msafi?Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM atapatikana kupitia njia hii.nasema ikiwa chama kitaamua kuwa na katibu mkuu mwingine nikiwa na maana kuwa chama kinaweza kufanya maamuzi ya kumrudisha aliyekuwepo kwa sababu ambazo nilishazieleza kwa kina kupitia jukwaa hili.
Nashangaa watu walipo anza haraka haraka kutaja taja majina ya watu ambao watabeba mikoba ya ndugu chongolo.nilishangaa na kucheka kwa kuwa mimi naifahamu vyema CCM kuwa huwa kamwe haitangulizi mkokoteni halafu ikafuata kuchukua farasi.CCM nayoifahamu mimi haitangulizi majina ya watu kwa sura zao au rika lao au jinsia zao au sauti zao au mahali wanapotokea au dini zao.
Siku zote CCM huangalia kazi iliyopo mbele yake na wakati uliopo na ndipo huanza uchambuzi wa kina na kisayansi kuangalia ni nani anayeweza kubeba majukumu yaliyo mbele ya chama na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu.
Kwa sasa CCM inahitaji na italeta katibu mkuu mwenye kuendana na kasi ya mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Tanzania,mwenye kukijuwa vyema chama cha Mapinduzi,mwenye utulivu,hekima na busara ya hali ya juu sana.anayetambua uzito wa kauli zake mbele ya camera na jamii.mwenye kuweza kudhibiti ulimi wake,asiye na jazba wala hasira inayoweza kumpelekea kutamka mambo kiholela awapo majukwaani ambayo yakaleta taharuki na kukitesa chama katika kujisafisha.
Chama kinamhitaji mtu msafi wa matendo,mwenye taswira njema na nzuri katika jamii,mwenye uwezo wa kukiunganisha chama kuanzia mashinani hadi Taifa. ikumbukwe ya kuwa katibu mkuu wa CCM Ni Tofauti kabisa au ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjalo na vyama vya upinzani kama CHADEMA. Wa CCM Ni mzito kwelikweli,ni mtu wa daraja la juu sana kiuongozi.
Hivyo CCM inahitaji mtu aliyepevuka na kukomaa hasa kiakili na siyo kimwili au kiuombo au kisura .awe amejazwa na misuli ya usiri mkubwa sana katika kifua chake.mwenye kuweza kutunza kila kitu katika kifua. Ni lazima awe mwenye mikakati,mbinu,na akili kubwa sana ya mipango thabiti ya kukivusha chama na kukipatia ushindi katika Chaguzi zijazo.ni lazima awe mfuatiliajii wa masuala yote ya maelekezo ya chama kwa ngazi zote.awe anaifahamu vyema ilani ya chama na namna serikali yake ilivyotekeleza na mahali palipo bakia kiutekelezaji. Ni lazima awe na mawazo mapya katika kukipatia upya chama kila uchwao,na nilazima awe makini sana kwa kila hatua afanyao.
Ni lazima awe mwenye stamini ya kuhimili vishindo vya kila aina na anayetambua ya kuwa uongozi ni Jalala la kutupiwa kila kitu.ni lazima awe ni mtenda haki kwa wanachama wote na kuwathamini na kuwaheshimu wote bila kufanya ubaguzi wala upendeleo kwa yeyote yule.asiwe mtoa matamko ya haraka haraka pasipo kufikiri na kutulia.ni lazima awe na subira na mtafiti wa mambo mbalimbali anayoletewa mezani pake. Ni lazima ajuwe umbea na Majungu vipo tu hivyo lazima ajuwe namna ya kukabiliana navyo.
Ikumbukwe ya kuwa kimajukumu huyu ndiye mtendaji mkuu wa chama,msimamizi wa udhibiti wa fedha na mali za chama,msimamizi na mratibu wa masuala yote ya usalama na maadili katika chama,msimamizi wa shughuli za utawala na uendeshaji wa chama n.k. hivyo inahitaji awe na akili za ziada katika kukilinda chama kiusalama ili kisije hujumiwa au kupandikizwa migogoro au kuvurugwa na kuleta mpasuko au nyufa ndani ya chama.ni lazima awe na ujasiri na ushupavu wa kumkabili na kumwita mwanachama yeyote yule katika utaratibu wa kichama na siyo hadharani pale ambapo nyendo zake zitaonekana kuhatarisha usalama wa chama au kukigawa.
Ni lazima awe ngao namba moja ya mwenyekiti wetu na siyo kuwa daraja la kumhujumu Mwenyekiti wetu hasa kutoka kwa wale wasaka madaraka,ni lazima asimame na Mwenyekiti wetu mpaka dakika ya mwisho.ajuwe maono ya mwenyekiti wake na kuyatafsiri kulingana na ilani ya chama na kuhakikisha yanatekelezwa ipasavyo.na ni lazima mwenyeki naye amlinde kwa nguvu na kwa wivu mkubwa sana na kwa umakini mkubwa sana katibu mkuu wake hasa kwa kutambua ukweli kuwa kuacha katibu mkuu kudhoofishwa na kikundi chochote kile ndani ya chama ni sawa na kujihujumu na kujidhoofisha Mwenyewe na kujiweka katika hatari ya kushindwa kuwa na sauti ya kuheshimika ndani ya chama.
Ni lazima Mwenyekiti na katibu wake ni wamoja na kuhakikisha kuwa chama hakitekwi nyara na kikundi chochote kile kinachoweza leta hatari ya kuleta migogoro na mipasuko ndani ya chama kwa kujiona ni wakubwa kuliko chama ambacho ni taasisi kubwa yenye historia kubwa katika Taifa letu na katika bara zima la Afrika.
Ni lazima Mwenyekiti wa chama ahakikishe anapata katibu mkuu ambaye wataendana kwa kila kitu ,ambaye atakuwa mtiifu na mnyenyekevu,.atakayejiona yupo kusaidiana na yeye kutekeleza ilani na siyo kwa ajili ya kuimarisha kundi fulani lenye malengo ya mbele kwa ajili ya madaraka fulani kwa ajili ya mtu fulani wa kundi fulani. Awe ni mtu mwaminifu kwake mwenyekiti na anayeweza kumuachia hata glasi ya maji ya kunywa bila wasiwasi wowote ule.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Vp Bashiru kipindi mnamkodi?CCM hatukodi watu wa kuja kutuongoza sisi maana tuna hazina ya kutosha ya viongozi wenye sifa na uwezo wa kushika nafasi ya katibu mkuu.
Chama cha matapeli (CCM)Ndugu zangu Watanzania,

Naunga mkono hojaNdugu zangu Watanzania,
Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM atapatikana kupitia njia hii.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wewe Zitto umemkuta CCM!Zitto
Tangia liniWewe Zitto umemkuta CCM!
CCM Ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania,ndio maana muda wote kipo karibu na watanzania kuwasikiliza kero zaoChama cha matapeli (CCM)
Nenda mashuleni uone namna walimu walivyo na vishikwambi kila mmoja kwa msaada wa serikali yaoYaani kuna mwana CCM msafi?
Utakuwa ama umelewa au unaota.
Msafi ijapo sikuumfuatilia sana alikuwa Deo Filikunjombe tu ndani ya CCM.
Ninalithibitisha kwa ushahidi wa ahadi zao.
Mfano;
Waliahidi 50M kwa kila kijiji, mpaka kesho 0:0
Wakatuahidi kuwa tutalipwa fedha za makinikia,mpaka kesho 0:0
Wakaahidi kompyuta mpakato kwa kila Mwl,ndio walimu hawahawa wanaotoa maji Kongwa na kuyapeleka Unguja kwa kumchangia fedha za form lkn mpaka kesho 0:0
Hizo ni chache za kitaifa,ebu sasa na wewe leta za jimboni kwako huko halafu tuone huo usafi wao.
Hiyo kasi ya mwenyekiti ni ipi? Upuuzi tupuNdugu zangu Watanzania,
Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM atapatikana kupitia njia hii.nasema ikiwa chama kitaamua kuwa na katibu mkuu mwingine nikiwa na maana kuwa chama kinaweza kufanya maamuzi ya kumrudisha aliyekuwepo kwa sababu ambazo nilishazieleza kwa kina kupitia jukwaa hili.
Nashangaa watu walipo anza haraka haraka kutaja taja majina ya watu ambao watabeba mikoba ya ndugu chongolo.nilishangaa na kucheka kwa kuwa mimi naifahamu vyema CCM kuwa huwa kamwe haitangulizi mkokoteni halafu ikafuata kuchukua farasi.CCM nayoifahamu mimi haitangulizi majina ya watu kwa sura zao au rika lao au jinsia zao au sauti zao au mahali wanapotokea au dini zao.
Siku zote CCM huangalia kazi iliyopo mbele yake na wakati uliopo na ndipo huanza uchambuzi wa kina na kisayansi kuangalia ni nani anayeweza kubeba majukumu yaliyo mbele ya chama na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu.
Kwa sasa CCM inahitaji na italeta katibu mkuu mwenye kuendana na kasi ya mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Tanzania,mwenye kukijuwa vyema chama cha Mapinduzi,mwenye utulivu,hekima na busara ya hali ya juu sana.anayetambua uzito wa kauli zake mbele ya camera na jamii.mwenye kuweza kudhibiti ulimi wake,asiye na jazba wala hasira inayoweza kumpelekea kutamka mambo kiholela awapo majukwaani ambayo yakaleta taharuki na kukitesa chama katika kujisafisha.
Chama kinamhitaji mtu msafi wa matendo,mwenye taswira njema na nzuri katika jamii,mwenye uwezo wa kukiunganisha chama kuanzia mashinani hadi Taifa. ikumbukwe ya kuwa katibu mkuu wa CCM Ni Tofauti kabisa au ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjalo na vyama vya upinzani kama CHADEMA. Wa CCM Ni mzito kwelikweli,ni mtu wa daraja la juu sana kiuongozi.
Hivyo CCM inahitaji mtu aliyepevuka na kukomaa hasa kiakili na siyo kimwili au kiuombo au kisura .awe amejazwa na misuli ya usiri mkubwa sana katika kifua chake.mwenye kuweza kutunza kila kitu katika kifua. Ni lazima awe mwenye mikakati,mbinu,na akili kubwa sana ya mipango thabiti ya kukivusha chama na kukipatia ushindi katika Chaguzi zijazo.ni lazima awe mfuatiliajii wa masuala yote ya maelekezo ya chama kwa ngazi zote.awe anaifahamu vyema ilani ya chama na namna serikali yake ilivyotekeleza na mahali palipo bakia kiutekelezaji. Ni lazima awe na mawazo mapya katika kukipatia upya chama kila uchwao,na nilazima awe makini sana kwa kila hatua afanyao.
Ni lazima awe mwenye stamini ya kuhimili vishindo vya kila aina na anayetambua ya kuwa uongozi ni Jalala la kutupiwa kila kitu.ni lazima awe ni mtenda haki kwa wanachama wote na kuwathamini na kuwaheshimu wote bila kufanya ubaguzi wala upendeleo kwa yeyote yule.asiwe mtoa matamko ya haraka haraka pasipo kufikiri na kutulia.ni lazima awe na subira na mtafiti wa mambo mbalimbali anayoletewa mezani pake. Ni lazima ajuwe umbea na Majungu vipo tu hivyo lazima ajuwe namna ya kukabiliana navyo.
Ikumbukwe ya kuwa kimajukumu huyu ndiye mtendaji mkuu wa chama,msimamizi wa udhibiti wa fedha na mali za chama,msimamizi na mratibu wa masuala yote ya usalama na maadili katika chama,msimamizi wa shughuli za utawala na uendeshaji wa chama n.k. hivyo inahitaji awe na akili za ziada katika kukilinda chama kiusalama ili kisije hujumiwa au kupandikizwa migogoro au kuvurugwa na kuleta mpasuko au nyufa ndani ya chama.ni lazima awe na ujasiri na ushupavu wa kumkabili na kumwita mwanachama yeyote yule katika utaratibu wa kichama na siyo hadharani pale ambapo nyendo zake zitaonekana kuhatarisha usalama wa chama au kukigawa.
Ni lazima awe ngao namba moja ya mwenyekiti wetu na siyo kuwa daraja la kumhujumu Mwenyekiti wetu hasa kutoka kwa wale wasaka madaraka,ni lazima asimame na Mwenyekiti wetu mpaka dakika ya mwisho.ajuwe maono ya mwenyekiti wake na kuyatafsiri kulingana na ilani ya chama na kuhakikisha yanatekelezwa ipasavyo.na ni lazima mwenyeki naye amlinde kwa nguvu na kwa wivu mkubwa sana na kwa umakini mkubwa sana katibu mkuu wake hasa kwa kutambua ukweli kuwa kuacha katibu mkuu kudhoofishwa na kikundi chochote kile ndani ya chama ni sawa na kujihujumu na kujidhoofisha Mwenyewe na kujiweka katika hatari ya kushindwa kuwa na sauti ya kuheshimika ndani ya chama.
Ni lazima Mwenyekiti na katibu wake ni wamoja na kuhakikisha kuwa chama hakitekwi nyara na kikundi chochote kile kinachoweza leta hatari ya kuleta migogoro na mipasuko ndani ya chama kwa kujiona ni wakubwa kuliko chama ambacho ni taasisi kubwa yenye historia kubwa katika Taifa letu na katika bara zima la Afrika.
Ni lazima Mwenyekiti wa chama ahakikishe anapata katibu mkuu ambaye wataendana kwa kila kitu ,ambaye atakuwa mtiifu na mnyenyekevu,.atakayejiona yupo kusaidiana na yeye kutekeleza ilani na siyo kwa ajili ya kuimarisha kundi fulani lenye malengo ya mbele kwa ajili ya madaraka fulani kwa ajili ya mtu fulani wa kundi fulani. Awe ni mtu mwaminifu kwake mwenyekiti na anayeweza kumuachia hata glasi ya maji ya kunywa bila wasiwasi wowote ule.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Tangu akiwa ChipukiziTangia lini
kupandisha nauli ndo kuwasikiliza?CCM Ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania,ndio maana muda wote kipo karibu na watanzania kuwasikiliza kero zao
😀😀😀😀 Kwa hiyo ni double agent.Tangu akiwa Chipukizi
Nauli zimepanda kutokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji.wenzetu majirani zetu wa kenya nauli zilikuwa zimepanda tangia muda mrefu. Gharama za maisha zipo kawaida ndio maana huoni mfumuko wa bei hasa vyakula hususani unga ,maharage na mchele ambavyo vinatumiwa na watu wengi sana. Kwa sasa Watanzania wapo shibe tupu na wanachagua chakula kipi wale kwa mlo upi.kupandisha nauli ndo kuwasikiliza?
Kupandisha bidhaa ndio kuwasikiliza?
Kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi ndio kuwasikiliza?
Ripoti za CAG kutokufanyiwa kazi ndo kuwasikiliza wananchi?
Wewe ni roboti..!