saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,677
- 7,810
CCM ndio kisima cha watu wasafi ingawa na wachafu hawakosekani. Viongozi wa juu wa sasa ni wasafi mpaka chenji inabaki. Kiongozi wao Samia sijaona waa lolote mpaka sasa, Kinana zaidi ya uzushi ni msafi, Hussein Mwinyi sihitaji kusema lolote kila mtu anamwona, ni mtu msafi hana mashaka yoyote. Viongozi wazuri wako CCM ndugu.CCM haina mtu msafi mkuu na wala haitokaa atokee mtu msafi ndani ya CCM. Huwezi kuwa msafi na mtu wa kanuni ukadumu CCM. Labda kama sielewi maana ya mtu msafi